Wito: Gomeni kwenda kuangalia mechi ya Brazil na Taifa Stars!

Mzee mwenzangu hongera sana ujumbe ulifika na message ikawa delivered.. wenye kuelewa walielewa na wakakubali.
 
Ule ujumbe wa kuwashukuru pia nao ulisaidia sana.Wanaumizwa sana wana wa adam!

Nina uhakika ndani ya miezi miwiili ukombozi utapatikana and i smell something like "one term..?"kuna jambo wakikosea tu
 
Muugwana wetu alikiri akiwa huko kwa Wazungu kwamba hajui kwa nini tanzania masikini. Lakini kwa ujumla Bara la afrika lina nuksi kubwa ya kupata viongozi wasio na uchungu kabisa na uduni wa hali za wananchi wao. Wako tayari kutumia utajiri woote wa nchi kuremain in power -- Mobutu style.

Sera ya nyuma mbele na mbele nyuma ndiyo mtindo. Karume (Abeid) alifanya mapinduzi ya sifa kubwa kuwakomboa watu wake lutoka kwa ubwanyenye wa Kiarabu, lakini baada tu ya kufanya hivyo hakujua kipa-umbele ni kipi ktk kuziinua hali za watu wake. Aliona TV ya rangi na kiwanja cha kisasa cha mpira ndiyo muhimu sana kwa watu wake kuliko vitu vingine. (Angalau magorofa ya Michenzani, yaliojengwa as an after thought.)

Mauritius na Seychelles, zilizlojikomboa karibu wakati mmoja na Zanzibar hazikuanza hivyo, lakini sasa ziko mbele zaidi ya Zanzibar kimaendeleo.

Leo mambo haya bado tunayo hapa nchini -- mabilioni ya wananchi yanatumiwa kwa ajili ya kucheza na Brazil kwa dak 90, huku kukiwa na vipaumbele kibao ambavyo serikali haivishughulikii kabisa. nashamgaa iwapo hadi sasa hapati jibu kwa nini Tz bado masikini.
 
Mechi imeingiza jumla shilingi ngapi - na faida ama hasara ni kiasi gani?

Kwani walitangaza kwamba walikuwa wanafanya biashara na timu ya Brazil? Hata hivyo, kulingana na attendance, hakutakuwa na faida, lakini bila shaka wako tayari kuja na forged figures kusema wamepata faida kubwa. Inanikumbusha uj#io wa rada, wali-cook figuyres kusema ilikuwa inaleta faida!
 
Mechi imeingiza jumla shilingi ngapi - na faida ama hasara ni kiasi gani?

Kwani walitangaza kwamba walikuwa wanafanya biashara na Brazil? Hata hivyo kutokana na poor attendance, iotakuwa hasara kubwa!! But as usual they are ready to come up with cooked up figures to show they made a huge profit.

Inanikumbusha ujio wa radar walipofoji figures na kusema ilikuwa inawaletea Watz faida kubwa, ili tu kulinda mafisadi fulani.
 
Mahali ni Ikulu wiki moja kabla ya mechi kati ya Taifa Stars na Brazil. Rais Jakaya Kikwete kamuita Leodgar Tenga kuzungumzia mechi ijayo ya Juni 7, 2010. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

JK: Tenga, viingilio vya mechi ni kiasi gani?
Tenga: Mheshimiwa Rais, viwango vya chini kabisa ni shilingi elfu 30, elfu 50 na elfu 80. VIP watalipa shilingi 150,000 na 200,000/-.
JK: Kwa nini viwango vikubwa hivyo? Wananchi wa kawaida hawawezi kumudu kulipa.
Tenga: Mh. Rais, hii ni kutokana na kuwa tumelipa appearance fees kubwa sana kwa Brazil waje Dar. Tumelazimika kuchukua overdraft facility benki ya NMB ili kuwalipa Brazil. Tunaishukuru serikali kwa guarantee yake kupata mkopo huu na msukumo wake kuileta Brazil.
JK: HAPANA! Hivyo viwango ni juu sana. Serikali ni sikivu na inajua umasikini halisi wa wananchi wake.
Tenga: Sasa tufanyaje mkuu?
JK: Naagiza kuwa tiketi za bei za chini kabisa ziuzwe shilingi elfu 5, elfu 10 na elfu 15. Zile za VIP ziuzwe 250,000/-, 350,000/- na 500,000/-. Ni lazima matajiri wafidie gharama kwa masikini. Nataka Watanzania wajae kuangalia mechi hii muhimu.
Tenga: Asante, Mh. Rais. Tutatekeleza mara moja. Wewe kweli ni Mpenzi Mahiri wa Michezo!

GHAFLA nikashtuka na kuamka kutoka usingizini. Kumbe it was just a dream.

HIKI NDICHO KILICHOTOKEA in real life. Ni Juni 7, 2010. Siku ya mechi ya Taifa Stars vs Brazil. Wapambe wa Rais waliweka mabango makubwa nje na ndani ya uwanja yakionyesha picha ya JK akibusu Kombe la Dunia huku kukiwa na maneno: "Mpenzi Mahiri wa Michezo" kwenye mabango hayo. Wachezaji walipojipanga uwanjani tayari kuanza mechi, Rais alishuka akapungia wananchi na kwenda kupiga picha na kina Robinho, Maicon na Kaka. Halafu akarudi kuketi kwenye jukwaa kuu huku akizungukwa na wafanyabiashara wakubwa, wabunge na VIP wengine. Alitazama burudani ya mpira akitabasamu kama kawaida yake huku mbele yake kukiwa na maelfu ya viti vitupu. Watanzania wachache tu waliweza kumudu kulipa 30,000/- mpaka 200,000/- kuangalia mpira. Nje ya uwanja, mamia ya vijana kutoka mbagala na kwingineko walijaa kwa kukosa kiingilio. HII NDIYO NCHI YETU NA HAWA NDIO VIONGOZI WETU!
 
World Cup 2010: Tanzania count cost of Brazil friendly
By Emmanuel Muga
BBC Sport, Dar es Salaam

Brazil were watched by a half-empty stadium in Tanzania

The Tanzanian Football Federation are facing a big financial loss after a poor turnout to see Brazil beat Tanzania 5-1 in a friendly on Monday.

Fans were put off by record entrance fees ranging from 25-180 US dollars to see the world's best team.

The Tanzanian Football Federation (TFF) hoped to raise about US$3m and cushion an estimated US$2.5m used to secure a friendly against the Brazilians.

But the 60,000-seater stadium was only half-full for the evening game.

The match fee paid to Brazil triggered a debate in Tanzania with some people questioning the rationale behind a poor country spending massively on a single match.

This forced the government to come clean on the matter, saying it had contributed nothing to the costs.

"Inviting Brazil was the TFF's responsibility," the minister of sports George Mkuchika said.

"They have taken a bank loan, which they will repay through gate collections, so the government should not be accused of anything."
Ramirez scored two of Brazil's goals

Away from the costs, the game was excitement-filled, especially after the host team managed to grab a goal against the five-time world champions in the 5-1 loss.

The stadium erupted with joy after Jabir Aziz's goal in the dying minutes of the game, while Brazil coach Carlos Dunga praised his hosts for 'a good test'.

Robinho and Ramirez scored two goals each and Kaka was also on target as Brazil wrapped up their preparation before starting their World Cup Group G campaign against North Korea on 15 June.

"It was a good test for Brazil because Tanzania is a good team, very well organised," Dunga said afterward.

"The idea was to play teams with high speed, physically strong, so it was good for us to play Tanzania and Zimbabwe.

"My target is the same as all Brazilian people, to win the World Cup."

Dunga used his full-strength squad and all his players came through the match unscathed.

source: BBC Sport - Football - World Cup 2010: Tanzania count cost of Brazil friendly
 
Hata hivyo siamini TFF walikurupuka wenyewe tu kuwaita Brazil -- never. It must have come from above. And still, why all the secrecy behind the cost etc?
 
Inaonekana kumeborongwa sana -- very serious indeed. Very wrong calculations, very wrong decision - as usual under JK administration. Kwa sababu ya madudu yaliyotokea ndiyo maana Mkuchika sasa eti anaruka kimanga -- eti serikali haihusiki. Who is going to buy that crap? Hii shubiri lazima serikaliu iinywe.

Hata hivyo nawapongeza Watz waliogoma kwenda -- hata kama sababu ni viingilio vikubwa! TFF na serikali yake wame-learn a very big lesson, if at all they do learn anything!
 
Mkuchika kasema TFF walikopa pesa Bank na serikali haihusiki,naomba ajibu maswali yatuafayo na ikiwezekana mtumieni kwenye email yake.

1.Inajulikana wazi kuwa Benki yeyote ya kibiashara huwa haikopeshi bila ya kuwapo gurantee ya mkopo kurudi,kikawaida inatakiwa iwepo "bond" ili upate mkopo na mara zote kama ukishindwa kurudisha huu Mkopo wanafanya mnada ili kurudisha pesa hizo.Je ni nani aliwadhamini TFF kuchukua Mkopo mkubwa hivi katika benki X?

2.Pili kama TFF walitumia majengo yao kuombea mkopo,Je ni kikao gani ambacho kilipitisha maamuzi haya

3.Inavyoonekana Mkuchika anajua TFF walikopa katika Bank gani,Tunaomba atutajie Jina la bank hiyo na kiasi ambacho TFF walikopeshwa.

Ukishapata majibu hayo rudi ile taarifa ambayo ilitolewa na Kamati ya Serikali kutafuta timu ya kucheza na Tanzania.Lengo lao ni kuwa na timu tatu na jiulize maswali yafuuatayo

1.Yule Teddy Mapunda alikuwa mmoja ya wahamishshaji wa pesa hizo,Je walikusanya kiasi gani cha pesa?ziko wapi?

2.Kama serikali walitenga dola millioni sita,na wanasema hawakutoa pesa kwa ajili ya Mechi hii Je hizo pesa ziko wapi?tunategemea kuziona zikirudi katika bajeti itakayosomwa na Mkuchika.

Wanaweweseka na kwa kuwa tulifunga kwa Maombi basi wataumbuka tu!
 
Mkuu tatizo la Tanzania ni Uongozi mbaya,viongozi wetu wamekuwa kama Monarchy,wafalme ambao hawafahamu kabisa uwezo wa wananchi wake. Natumaini mahudhurio ya Mpira huo yatakuwa fundisho kwao )picha halisi) lakini I doubt kama watashtuka kwa sababu hakuna kiongozi anayeamini kwamba Watanzania wanalipwa kiwango kidogo sana kwa kazi na huduma wanazozitoa.

Na kibaya zaidi ni ile hotuba ya JK kwa TUCTA inasikitisha sana kwamba hakutumia lugha ya kiungwana kuelewa matatizo ya wafanyakazi na kusema serikali yake inalifuatilia swala hilo kwa makini zaidi, badala yake katumia lugha ya mfalme kumtukana Robin Hood...Zile shangwe na vigelegele vilimpumbaza pasipo kujua moyoni wazee wale walikuwa wakiumia kwani hao wafanyakazi ni watoto zao wanaweka chakula mezani.

Hapa natazama mpira baina ya Msumbiji na Ureno, wenzetu uwanja umejaa kichizi lakini nao kama kawaida ya mwafrika (Ujinga na Ulimbukeni) Wazungu wote wanashangilia Ureno na weusi wakishangilia Msumbiji..Hali kama hii ni jipu linalosubiri kupasuka, ipo siku vitaamka upyaaaa....Sijui kama viongozi wao wamelisoma hili.
 
siasa zetu za kusema kugoma ndio imefanya tukose uhondo kuona live mechi,sisi wafurukutwa wa soka sio washabiki maandazi siasa nyingi kuliko vitendo,serikali haikomoleki duniani kokote,tumia busara sio siasa hata Mandela alitumia busara hadi wazungu wakampa uhuru tofauti na kina zuma enzi zile kujifanya wao vichwa ngumu wabishi wakafungwa jela!,kha!
 
Nashawishika hii thread ni ghilba zile zile tulizoziea ati kuwa 'Rais anaangushwa na wasaidizi wake'..Same old shyt diferent day.
 
Jamani nimeangalia first half namna Msumbiji walivyowakamata Ureno hadi inaleta raha. Kwanini Mozambique wawe juu hivyo kuliko sisi? tunalingana katika vitu vingi (malezi/vyakula nk) vitu vingine sisi tupo juu. Kwanini wawe na timu bora kuliko sisi? Jamaa wapo 0:0 na second half inaanza ila Ureno wanateswa vibaya.
 
Mkuu malalamiko mengine hayana basis. Raisi wa Tanzania ni head of state kwa maana hiyo kwenye shughuli za Kitanzania lazima awepo. Kwa nini raisi wa nchi asiwepo kwenye mechi ya mpira? Na bora basi ingekua leo hii ni mara ya kwanza lakni katika mechi nyingi za taifa stars JK anaenda. Sioni kosa hapa na ninge shanga'a kama kwenye mechi kama hii raisi wa nchi asinge kuwepo.
mjumbe nimekupata freshi kwamba umuhimu wa jk kuwepo kiwanjani kwani bila yeye tz ingepata kipigo kikubwa sana lakini yeye kawaongezea hari vijana ndio maana tumefungwa mabao machache
 
Mahali ni Ikulu wiki moja kabla ya mechi kati ya Taifa Stars na Brazil. Rais Jakaya Kikwete kamuita Leodgar Tenga kuzungumzia mechi ijayo ya Juni 7, 2010. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

JK: Tenga, viingilio vya mechi ni kiasi gani?
Tenga: Mheshimiwa Rais, viwango vya chini kabisa ni shilingi elfu 30, elfu 50 na elfu 80. VIP watalipa shilingi 150,000 na 200,000/-.
JK: Kwa nini viwango vikubwa hivyo? Wananchi wa kawaida hawawezi kumudu kulipa.
Tenga: Mh. Rais, hii ni kutokana na kuwa tumelipa appearance fees kubwa sana kwa Brazil waje Dar. Tumelazimika kuchukua overdraft facility benki ya NMB ili kuwalipa Brazil. Tunaishukuru serikali kwa guarantee yake kupata mkopo huu na msukumo wake kuileta Brazil.
JK: HAPANA! Hivyo viwango ni juu sana. Serikali ni sikivu na inajua umasikini halisi wa wananchi wake.
Tenga: Sasa tufanyaje mkuu?
JK: Naagiza kuwa tiketi za bei za chini kabisa ziuzwe shilingi elfu 5, elfu 10 na elfu 15. Zile za VIP ziuzwe 250,000/-, 350,000/- na 500,000/-. Ni lazima matajiri wafidie gharama kwa masikini. Nataka Watanzania wajae kuangalia mechi hii muhimu.
Tenga: Asante, Mh. Rais. Tutatekeleza mara moja. Wewe kweli ni Mpenzi Mahiri wa Michezo!

GHAFLA nikashtuka na kuamka kutoka usingizini. Kumbe it was just a dream.

HIKI NDICHO KILICHOTOKEA in real life. Ni Juni 7, 2010. Siku ya mechi ya Taifa Stars vs Brazil. Wapambe wa Rais waliweka mabango makubwa nje na ndani ya uwanja yakionyesha picha ya JK akibusu Kombe la Dunia huku kukiwa na maneno: "Mpenzi Mahiri wa Michezo" kwenye mabango hayo. Wachezaji walipojipanga uwanjani tayari kuanza mechi, Rais alishuka akapungia wananchi na kwenda kupiga picha na kina Robinho, Maicon na Kaka. Halafu akarudi kuketi kwenye jukwaa kuu huku akizungukwa na wafanyabiashara wakubwa, wabunge na VIP wengine. Alitazama burudani ya mpira akitabasamu kama kawaida yake huku mbele yake kukiwa na maelfu ya viti vitupu. Watanzania wachache tu waliweza kumudu kulipa 30,000/- mpaka 200,000/- kuangalia mpira. Nje ya uwanja, mamia ya vijana kutoka mbagala na kwingineko walijaa kwa kukosa kiingilio. HII NDIYO NCHI YETU NA HAWA NDIO VIONGOZI WETU!

Halafu wapuuzi hawajui kwamba ukijaza uwanja kwa viingilio vya sh 5,000 10,000 na 15,000 utapata hela zaidi kuliko uwanja ukiwa na washabiki wachache waliolipa 30,000 80,000 150,000 na 200,000.

Halafu kitu kama mechi si pishi la mchele, kwamba usipouza leo utauza kesho.Kiti kisipouzwa siku ya mechi ndiyo hasara moja kwa moja. Hivi kuna watu wanajua kupiga hesabu hapo TFF au wanapelekeshana tu?
 
1275989072916_348.jpg

Juu ni Jabir Aziz (kulia akiwa na miaka 17), mfungaji wa goli pekee la Tz, na Mtanzania mwenzake Dude Issa wakiwa wachezaji wa timu ya daraja la 5 Ughaibuni mwaka 2005-2006. Jabir Aziz alizamia Ulaya kwa kutoroka wakati timu yake ilipoalikwa Tivoli Cup, Denmark mwaka 2004. Wote wawili waliomba hifadhi ya ukimbizi kwa kudai kuwa ni watoto yatima lakini hatimaye walirudishwa kwa nguvu 2006.
 
Back
Top Bottom