mwanaodessa
Member
- Apr 1, 2012
- 88
- 13
Halafu watu Kama wewe mnakaa vijiweni kutwa mkilalamika kukosa ajira. Kila kitu kizuri serikali inachojaribu kufanya..kuna manyamela Kama wewe mnakashifu na kutoa statements za chuki.
Nenda kajenge bandari yako huko kwenu...ili uiendeshe itakavyokupendeza wewe. :mvutaji:
Asante, Tuwe wazalendo, pale serikali inapofanya vyema tuwape hongera zao, kwa hili hongera Kikwete..