VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,899
- 580
hiyo ya mtwara kusafirisha nini bandari ya ukubwa huo? sio kweli kwamba wote tunauwezo wa kufanya planning, kama bandari inajengwa na hakuna wizi tatizo liko wapi? kwanza bandari ya msaada tunaweza jenga mtwara kwa kodi yetu, wachina waliotoa pesa wamerishika na bagamoyo ,kwani lazima ijengwe nyingine wakati tuna bandari ya tanga na mtwara kwanini hizi bandari yasipanuliwe na kufanyiwa marekebisho kadhaa ili hizo pesa zingine zitumike katika kujenga nyumba za polisi ,walimu,madaktari na wanajeshi mukandala ulikua wapi ungemshauri dhaifu
Bandari ya mtwara inahitaji uwekeza mkubwa sana kwenye miundombinu mingine kama barabara na reli lakini pia ukanda huo hauhitaji bandari ya ukubwa huo kwa sasa