Wise Quotes by Mwalimu Nyerere: And not so Wise by Others...

Nikiwa kama Mtanzania hembu tuzikumbuke Qoute za Baba wa Taifa hayati Mwalimu Nyerere - Mimi naanza na wenzangu naomba tuendelee!

'Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo, ni umaskini mbaya sana' Mwalimu J. K. Nyerere, 01/5/1995
 
...Unaweza kuwa na almasi hivi, tapeli akaja na kachupa akakwambia hiyo siyo almasi, almasi ni hii, akakupa kachupa na wewe ukampa almasi ukatoka hapo unashangilia kama zuzu vile...!-JK. Nyerere
 
Mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini bila CCM madhubuti nchi hii itayumba. - 1985
 
“I am not resigning but, I am quitting, and I
have decided to do so because, I feel time
is in hand for another member to lead the
Nation ….”
 
aliwahi kusema watanzania uchi no sorry uchumi mnao lakini mnaukalia
 
Ikiwa tutaruhusu wasichana waliojifungua kurudi mashuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa darasani" --- J.M.Kikwete
 
Back
Top Bottom