Wiretapping in Tanzania

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Is Tanzania's intelligence apparatus sophisticated enough to have been using modern wiretapping (apart from bugging telephone lines at the Exchanges)?

If they use some form of wiretapping, do they need to get permission from civil authority in some circumstances, or all the time whatever they do is in the "nation's security interests"?

Mlenge
 
If FBI still does it...

And they are the pioneeering professionals.
 
hehehe,
watatumia kila njia! siku hizi watu wanatumia njia mbalimbali za mawasiliano. Unaweza kuona msg lkn usiielewe! Imekaa katika 'codes'. sometimes ppl uses special language! Unless you are one of them then olny you can understand its content!
 
Si security organizations tu. Siku hizi all sorts of "spying" equipment can be bought at your local high street in many countries. Mi mwenyewe nafikiria kununua, si "wire" per se, but a small recording device that I will carry around with me when I come back to TZ ili niwakomeshe watu wanaosumbua wenzao e.g. bandarini, TRA etc. Then I create a kind of evidence library,
 
Injinia,

Sidhani kama itakusaidia, katika mazingira machache sana, ushahidi unakosekana kuwatia hatiani hao unaowaita wanasumbua wenzao. Kwa sehemu kubwa tatizo letu ni mfumo unaolea watu wanaoshindwa kuwajibika sehemu zao za kazi. Umenikumbusha miaka michache nyuma kabla ya TTCL ukubinafsishwa, sehemu niliyokuwa nafanya kazi tulikuwa na tatizo la kuibiwa line zetu zikawa zinatumika kupiga simu za kimataifa. Siku moja tukaweka line na speaker tukarekodi kwa kutumia tape recorder, tulirekodi TTCL employee akiongea na mTz mwenye asili ya asia kuunganishiwa namba zake, tukiwa na furaha kuwa TTCL wataweza kutusaidia kumpata angalao mmoja wa wanaofanya wizi huu, to our suprise yule jamaa ambaye alikuwa ana head section, after all of our evidence, alianza kucheka na kutuambia........"Hawa watakuwa vijana wangu wamecheza mchezo....." That was about 20 years ago, na sasa situation ni mbaya zaidi.
 
Wiretapping sasa hivi baada ya kuregister namba zenu ndo itapamba moto vizuri. Maana kabla ya hapo ingekuwa taabu kidogo.

Marekani leo Obama amextend Patriot Act ambayo inairuhusu serikali kuspy on Americans, taabu kweli!!
 
Yeah man.. that's the guy who was trashing President G. W Bush for signing the PATRIOT ACT!
ACLU guys are mad as hell!
 
Yeah man.. that's the guy who was trashing President G. W Bush for signing the PATRIOT ACT!
ACLU guys are mad as hell!

Brutus, kuna kitu katika haya mambo ya surveillance nakijua lakini sidhani hata kidogo serikali yetu hapa Bongo iko aware nacho au kuweza tu kukifikiria. Siwezi kukisema hadharani, maana nikifanya hivyo hawachelewi ku-draft bill na ku-fast-track ili sheria ipitishwe kuzuia maendeleo yake kutokana na nia yao ya kutaka ku-tontrol na kumonitor mawasiliano yetu yote. So I'll remain silence as I'm a staunch proponent of freedom of information!!!
 
Dah.....haya bana.......na ukae na hilo jambo kimya milele.......kwi kwi kwi.....
 
Ogah ('patapata'),

Steve dii anazungumzia encryption.

Unadhani wanajali?

Niliona email address za Wizara na ofisi nyeti Tanzania zinapitia kwenye private servers. I'd bet my life none of the emails is encrypted. Because akiwepo mtu smart enough to even know or use encryption, that person would and should have been the first kuwaambia wahosti wenyewe server zao!
 
Marekani walipitisha kabisa sheria ya kuwa na wiretaping na pia hii ni safi ila inaingilia uhuru wa mtu binafsi na pia kutokana na hali ya kiusalama duniani nchi Kadhaa zimefanya hivi ili kujilinda na ugaidi Duniani
 
siku hizi siri ni iliyopo moyoni mwako, sio serikali tu hata jirani yako anaweza kukufuatilia kwa sababu zake. ila inasikitisha serikali bado iko nyuma katika matumizi ya high tech. Kwa kifupi,hakuna siri huko na wataalamu wake wamesinzia kabisaaa
 
Chiwaso,

It's me. Mlenge Fanuel.

Have we met?

Regards,

Mlenge
 
Kuna ulazima kwa serikali kujua na kuchambua kitu gani au simu gani au sensory gani ya kufnyia wiretapping ni mbaya sana kwa watu walio kuwa mbali na masuala ya sheria ya privacy ya mtu kama sisi Watanzania
 
Chupaku,

It's pity that the technology is not used the way it should.

Our Embassy would definitely not use encryption (if the main government does not, how are they going to be using it?) to communicate with Tanzania. Their communications are open to eavesdropping to whoever cares to listen.

I saw an Ad for (additional) Internet service for American Embassy in Dar, and one of the requirements is for them to be able handle the internet packets the way they want -- Encryption and no 'man-in-the-middle'.

Hebu angalia hii Tanzania Government Directory 2009. Utaona jinsi wizara na idara za serikali zinavyopitishia information zao ZOTE sekta binafsi.

Mlenge
 
Back
Top Bottom