Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
wakuu nimenunua wireless moderm kutoka voda....kiukweli inapiga mzigo kiuhakika na inaspeed ya hali ya juu unaweza ukaitumia hata kwa computer nne kwa wakati mmoja...unaweza ukaitumia kama wireless au ukaconnect kwa sb...nimefanikiwa kwenye laptop ila kwenye desktop yangu ya hp d530 SFF wireless imekataa... nadhani tatizo ni haina drives za wireless...naombeni msaada wa web nitakayopata wireless driver ya hp d530 SFF.....