Wireless cctv monitor and camera

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
Nauza cctv Camera pamoja na screen ndogo kama sikosei ni 7 inch.Ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama duka kwa ajili ya kuweka usalama kwa vibaka.Lakini hairikodi matukio ila utakuwa na uwezo wa kuona tu.Tatizo lingine nilonalo ni kwamba sifahamu umbali wa mawasiliano baina ya Camera na hiyo screen iwapo mtu anahitaji kuweka Camera mfano katika geti na connection ya screen iwe ndani ya nyumba.Ipo Dar na bei ni shs 120,000 tafadhali mpigie Habib 0717810318.

Number: CS97SPractical camera security system, complete with portable monitor. Wireless and so easy to install. With built-in microphone. The color images of the outside camera view on the monitor with 7 inch LCD screen. With A/V connection to link to your TV.

* AV output to TV and DVR
* AV input for DVD/GAME
* Up to 75 meters range in open space
* Metal enclosure for outdoor use
* 7 "colour TFT screen
* 7 m night vision with IR-LEDs
* Support for 3 cameras.
Camera adapter (V): 230 v AC/7, 5VDC-regulated 300mA
Monitor adapter (V): 230ACV/12VDC-700mA
Frequency (GHz): 2.4
Wired/Wireless: Wireless
Wireless digital/analog: Analog
Range (m): 75
Lens (mm): 8
Horizontal viewing angle (°): 36
Vertical viewing angle (°): 42
Sensor lines: 450
Light sensitivity (Lux): > 1
Screen size (Inch): 7
Resolution (Pixels x Pixels): 320 * 240
Video System: PAL
1Vp-p/75 Ohm
Audio output: 1Vp-p/600ohm
Night light LEDs: 11
Water Density (IP): IP54
Operating temperature (° c): -20

Tangazo la bila uhakika huwa linahashiria mauzo ya vitu vya wizi.

Hilo neno WIZI limenikasirisha kwakweli,wengine humu tunajiheshimu na kuheshimu wengine.Haikuwa na umuhimu wa kukomenti neno WIZI ikiwa hujaridhika nayo.Tujiheshimu jamani msiwe na dharau za kipumbavu kama kitu hakijakukalia sawa basi upite tu.:A S angry:
 
Nauza cctv Camera pamoja na screen ndogo kama sikosei ni 7 inch.Ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama duka kwa ajili ya kuweka usalama kwa vibaka.Lakini hairikodi matukio ila utakuwa na uwezo wa kuona tu.Tatizo lingine nilonalo ni kwamba sifahamu umbali wa mawasiliano baina ya Camera na hiyo screen iwapo mtu anahitaji kuweka Camera mfano katika geti na connection ya screen iwe ndani ya nyumba.Ipo Dar na bei ni shs 120,000 tafadhali mpigie Habib 0717810318.

Hilo neno WIZI limenikasirisha kwakweli,wengine humu tunajiheshimu na kuheshimu wengine.Haikuwa na umuhimu wa kukomenti neno WIZI ikiwa hujaridhika nayo.Tujiheshimu jamani msiwe na dharau za kipumbavu kama kitu hakijakukalia sawa basi upite tu.:A S angry:

mbona hili ni jambo la kawaida kusemwa kama mtu anauza kitu na hana details za hicho anachouza. sioni y unakasirika, kama una hata vikaratasi basi andika au nje ya vibox kama wameweka details si uweke kuliko kusema mie nijiheshimu.

wengi hamjui kufanya biashara, unategemea mtu akisoma na wewe muuzaji hauna huakika na unachouza si inamaanisha una goods bila maellezo. kama sikosei una gesi nini sasa.

Mie natumaini lazima kuna watu wengine watakuwa wanafikiria how come huyu muuzaji hajui anachouza???

Mtu unatangaza kuvutia wateja, nilikuwa naandika uongeze maelezo ie rahisi kupata wateja kama hauna haya as inavyoonekana. kwenye biashara akili ni mbele kuvutia wateja na sio kujiheshimu eti upumbavu sasa unatumia neno hili naelewa at times ukweli unauma.

Mie ningekuwa wewe sina product details basi hata ninge google kutafuta nikabandika kuliko ku gesi. kubali usikubali umechemsha katika kuuza.

Sasa umeniita pumbavu ila unaona mwenyewe ni vv. kubali kukosolewa.

na bado nasisitiza auzae goods bila product details asilimia kubwa huwa cha wizi. hata hapa dar tunajua unless mtu uwe mzoefu unaweza sema mbili tatu bila ku gesi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom