Wino wa kuhakikisha mtu aliyepiga kura unakausha na kupasua vidole

ukiweka vidole kwenye dawa ya kutolea madowa ya jic na kusugua kidogo tu. wino unapotea faster
 
Pole Sana kwa nini umeenda kuharibu kidole chako wakati kura zilishapigwa siku nyingi kwani huoni matokeo yanavyosema mpaka muda huu?
 
Mimi yule ---- alinipaka kwenye kucha sasa kucha imekuwa kama ya zombi na kura yangu wameiiba pia dah!
 
Loweka hicho kidole kwenye dawa ya madoa kwa muda masaa 24 ili kuukomesha kabisa huo wino
 
Wangekuwa wadada ningesema mmeanza kutukera na u sister du, sasa nyinyi wote mnaolalamika naona ni wakaka, sijui niwaambie nn! Ngoja ntarudi na jibu lenu, ngoja nimsikilize lubuva hapa kwanaza

Una uhakika gani ni wakaka??? Kwani ww wino umeshatoka kwenye kidole chako au ndo yale yale ya kutetea hata upuuzi???
 
Una uhakika gani ni wakaka??? Kwani ww wino umeshatoka kwenye kidole chako au ndo yale yale ya kutetea hata upuuzi???

Sasa wewe wino unakupa shida gani, au basi tu ili mradi mtupigie kelele hapa, we unashindwa kupata deal ya pesa kisa wino kidoleni, achane akili mbovu tafuta ela!
 
Sasa wewe wino unakupa shida gani, au basi tu ili mradi mtupigie kelele hapa, we unashindwa kupata deal ya pesa kisa wino kidoleni, achane akili mbovu tafuta ela!

Kwani wamekuja kukuomba wewe pesa? Una uhakika hawana deal za kupata pesa? Mbona unakuwa mvivu kufikiri?
 
Sio kweli! labda kidole chako ni cha bandia, au ni cha cement. me mbona bado upo na kidole kiko poa? na huu wino siufuti kamwe! mpaka Magufuli anatangazwa mshindi

Acha kuingiza siasa kwenye mambo ya misingi. Kama wewe hujapata hayo madhara ni wewe acha kubishia wakati ukweli upo.
 
Loweka hicho kidole kwenye dawa ya madoa kwa muda masaa 24 ili kuukomesha kabisa huo wino

Mi nilimwagia dawa ya madoa kidgo..km dk moja hivi then nika chill...baada ya mda nikaanza kusugua/kubandua ile layer ya wino ikawa inatoka km vigamba gamba..so right now kidole kiko sooo fresh so clean..km mwanzo
 
Acha kuingiza siasa kwenye mambo ya misingi. Kama wewe hujapata hayo madhara ni wewe acha kubishia wakati ukweli upo.

Leo Dr Magufuli anatangazwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. poleee inakuumaje?
 
Wote mliopata madhara mkacheki damu kubwa uenda mna maradhi yana react na huo wino (mzio)
 
Back
Top Bottom