atrash
Member
- May 1, 2011
- 75
- 12
wana jf kwa wale mliotumia windows 8 je mnaiyonaje itakuwa ni bora na ni nzuri kuliko windows 7 mana ktk windows zilizotokea kupwendwa tokea zama za window me windows xp windows vista na windows 7 kwa maoni yangu windows xp ilipata bahati kupendwa na watu wengi kuliko vista na windows 7 pia imepata bahati ya kupendwa sasa sijui hiyo window 8 itakuwa bora kuliko windows 7 ? kwa mlio wahi kutumia 8 hebu tupeni habari