Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 321
- 520
Habari
Mimi sio mtaalam kabisa wa makompyuta, nina siku ya pili hapa kwenye kompyuta yangu najaribu kupiga windows 10 lakini nakutana na changamoto hii. Ikiwaka inakuja hivyo kwenye picha na nikiingia Boot menu na kuselect CD
Mara inawaka moja kwa moja. Wakati mwingine inaanza Kama unataka kukubali ina search then mlango wa CD unapiga kelele kama alarm halafu linawaka Tena kawaida.
Siku ya pili sijainuka hapa naomba MNISAIDIE ndugu zangu, nipo tayari kulipia gharama pia maana huku kijijini nilipo hakuna fundi, yupo umbali mrefu mno.
Najua wapo wajuzi mkuje wakuu