mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Dubai Fountain ni moja kati ya vivutio vikubwa vya kitalii vikubwa Dubai na ni moja kati ya water fountain kubwa ulimwenguni.
Dubai Fountain mara nyingi huchezwa nyimbo maarafu kama wa Whitney Houston I will always love you na Michael Jackson thriller.
Cha kushangaza ni hivi karibuni Dubai Fountain kucheza wimbo wa "BABA YETU" The Lord's Prayer kama video inavyoonesha tena wa kiswahili na watu wengi wameonesha kuvutiwa sana na wimbo huo na kuusifia sana mitandaoni na imekua ni gumbo mitandaoni na hapaYeah hapa Dubai of course I am in Dubai currently. No offense stay cool
Back to the topic.
Mchango wenu ukoje kwenye swala la
1. Kiswahili
2. Tanzania
3. Dini (majority of Dubai citizens are Muslims and its a Muslim Emirate Vs Christian Song)
4. Wafia dini wanalichukuliaje hili swala in different angles?
5. Upekee wa Dubai ulimwenguni.
Note: wimbo kuchezwa kwenye the dubai fountain ni swala linaloratibiwa na dubai authorities na hugharimu pesa nyingi kwa maandalizi na pia huchukua muda mrefu mpaka kuchezwa nyimbo mpya.
Karibuni........
Amaizing