Wimbo wa Alikiba watumiwa na Liverpool FC mazoezini

Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
3,460
4,231
Nyota ya mkali wa Bongo Flava, Ali Saleh au Alikiba imeendelea kung'ara kwenye soka baada ya wi

mbo wake wa Huku kutumiwa mazoezini na klabu ya Liverpool ya Uingereza.

Hii ni siku chache baada ya Alikiba kutumbuiza kwenye ufunguzi wa michuano mipya ya soka barani Afrika ya African Football League (AFL), uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Ambapo ngoma hiyo ya ‘HUKU’ iliyoimbwa na Alikiba akishirikiana na Tommy Flavour imechezwa wakati wachezaji wa Liverpool FC wakiwa mazoezini.

Video ya wachezaji wa Liverpool wakifanya mazoezi huku wakitumbuizwa na wimbo huo wa Alikiba, ipo katika channel rasmi ya YouTube ya Liverpool.

Ova
 
Siku zote wakati wa Mungu ndio sahihi zaidi. Ali Kiba huyuhuyu aliyedhihakiwa hajui kutumbuiza kapewa deal kubwa la ufunguzi wa michuano mikubwa, halafu ndiye mtumbuizaji pekee mbele ya viongozi wakubwa wa soka la Dunia!

Angekuwa Asake wa Tandale tusingekunywa maji hadi huu mwaka kuisha! Tambo zingekuwa nyingi sana.

Wimbo wa Huku naupenda na nimejirekodi mara kadhaa nikiucheza, au Liverpool wameniiga mimi nini? Lol
 
Yule dogo wa tandale poda imemmaliza

He’s going down… na ana kipaji kizuri sana
 
Hivi ni kweli anatumia?
Niseme ukweli, jamaa simkubali ila huwa namuombea sana hizo shutuma za poda juu yake zisiwe za kweli.

Kwa alikotoka, alivyopambana kufikia alipo kuja kuishia kwenye poda inasikitisha sana.
Mungu amuokoe mapema kabla hajapotea.
Check how he’s is transforming to a a strange creature…. Muscle wasting, erratic behavior, indecency in public, somehow turning into a woman, na kunyauka
 
Hili nashindwa kuliamini ni kwasababu diamond angekuwa anatumia madawa ya kulevya asingekuwa anaperform masaa ma4 jukwaani
 
Hili nashindwa kuliamini ni kwasababu diamond angekuwa anatumia madawa ya kulevya asingekuwa anaperform masaa ma4 jukwaani
Pamoja na kwamba tuhuma hizo zimekuwa nyingi mimi bado nimeshindwa kuamini, kuna chanzo changu kimoja kikinithibitishia hilo basi ndio nitaujua ukweli.
Ila naombea isiwe kweli...
 
Check how he’s is transforming to a a strange creature…. Muscle wasting, erratic behavior, indecency in public, somehow turning into a woman, na kunyauka
Mimi ile siku aliyokuwa anaelekea kwenye tamasha la treble la Yanga akashuka kwenye gari lake kuhamia gari la Manara ndipo nilishtuka nikajua hizo shutuma huenda zina ukweli.
Atajijua mwenyewe, akichuma janga atakula na wakwao.
 
Sasa hapo kuna ubaya gani haji na diamond si marafiki na hizo habari za madawa zimetoka kwa mange ambaye ni adui wa diamond kitu pekee nikawa ninaamini nikisikia mondi ana ukimwi hapo sawa maana jamaa ana list ndefu za mademu kuliko maelezo Ile si hii ya madawa mtoa taarifa anashindwa kutoa hoja zakusapoti taarifa hiyo
 
Back
Top Bottom