Wimbo Huu: Kuniletea Mke Mwenza Ndani Nyumba Si Jambo La Kushangaza Hilo...

Obuntu

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
510
34
Kwenye 80s kulikuwa na Wimbo ukiimbwa na Vijana Jazi (Kama Sikosei), baadhi ya maneno yake yalikuwa yakisikika kama hivi

"... Kuniletea Mke mwenzangu ndani ya Nyumba Si Jambo la kushangaza hilo...
" Kinachoniuma ni kulala sebuleni mimi na watoto..."

Sijui kama mtunzi alikuwa anaimba "real life story" au ni hali ya kubuni

Najaribu kufikiria nyakati kama hizi za leo, Obuntu unaingia nyumbani na hawala, halafa unamwambia Mkeo akupishe ulalae chumbani na hawala, yeye akalale sebuleni! Sipati picha!
 
mmmh! itakuwa patashika kwakweli halali mtu chini lol!
 
Kwenye 80s kulikuwa na Wimbo ukiimbwa na Vijana Jazi (Kama Sikosei), baadhi ya maneno yake yalikuwa yakisikika kama hivi

"... Kuniletea Mke mwenzangu ndani ya Nyumba Si Jambo la kushangaza hilo...
" Kinachoniuma ni kulala sebuleni mimi na watoto..."

Sijui kama mtunzi alikuwa anaimba "real life story" au ni hali ya kubuni

Najaribu kufikiria nyakati kama hizi za leo, Obuntu unaingia nyumbani na hawala, halafa unamwambia Mkeo akupishe ulalae chumbani na hawala, yeye akalale sebuleni! Sipati picha!

Dharau kubwa sana....

Hebu fikiria kinyume chake... Mkeo anakuzidi pesa na nguvu pia, anakuja na mwanaume mwingine kisha anakwambia uwapishe...:A S-confused1:
 
Wachangiaji wote mliotangulia hapo juu hamjaelewa muimbaji anasema nini. Someni vizuri hapo hajasema hawara bali mke mwenza hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Hii ipo bwana Obuntu wapo wanaothubutu kuleka mke mwingine ndani ya nyumba
Ni dhahiri alikuwa na mfano hai ndio maana akatunga wimbo huo
 
Kwenye 80s kulikuwa na Wimbo ukiimbwa na Vijana Jazi (Kama Sikosei), baadhi ya maneno yake yalikuwa yakisikika kama hivi

"... Kuniletea Mke mwenzangu ndani ya Nyumba Si Jambo la kushangaza hilo...
" Kinachoniuma ni kulala sebuleni mimi na watoto..."

Sijui kama mtunzi alikuwa anaimba "real life story" au ni hali ya kubuni

Najaribu kufikiria nyakati kama hizi za leo, Obuntu unaingia nyumbani na hawala, halafa unamwambia Mkeo akupishe ulalae chumbani na hawala, yeye akalale sebuleni! Sipati picha!
song za zamani zilikuwa zina base n tru story
 
Wachangiaji wote mliotangulia hapo juu hamjaelewa muimbaji anasema nini. Someni vizuri hapo hajasema hawara bali mke mwenza hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
hata kama mke mwenza ndo nani alale sebuleni?
mie wala sioni tafauti ya mke wa pili na hawara...
 
Ipo sana hii mbona?..Mi nishaona live..tena wala si mke mwenza, bali ni jimama tu la mtaani linaletwa ndani....Yaani inakuwa ni ile watu wamechokana kupita kimo!...na unakuta mama alishahama chumba zamani anakaa aidha na watoto chumba cha pili!
 
Dharau kubwa sana....

Hebu fikiria kinyume chake... Mkeo anakuzidi pesa na nguvu pia, anakuja na mwanaume mwingine kisha anakwambia uwapishe...:A S-confused1:
Hivi mochware zitakuwa zimefungwa au mochware attendants watakuwa kwenye mgomo kama wa TUCTA?
 
PK thats why it is important for any woman to be financial independent... mie nikiona karaha imezidi I pack my bags and leave...
 
PK thats why it is important for any women to be financial independent... mie nikiona karaha imezidi I pack my bags and leave. Straight to my Chrispo..
You are welcome my darling. Always and forever.

Hujambo lakini rafiki?
 
"... Kuniletea Mke mwenzangu ndani ya Nyumba Si Jambo la kushangaza hilo... " Kinachoniuma ni kulala sebuleni mimi na watoto..."

Nadhani hii imekaa kifasihi zaidi! Mara nyingi mke wa pili anathaminiwa zaidi na mume kuliko yule mkubwa.
 
The home belongs to you two, why say 'his home?...its your home cammon!
ahhh then if it is mine he shouldnt bring another woman in my house and in my presence .... and if he thinks it is his house and he can do whatever he wanna do...then let be it.... if he mistreat me i wouldnt mind moving out of his villa into a one bedroom flat....
 
hata kama mke mwenza ndo nani alale sebuleni?
mie wala sioni tafauti ya mke wa pili na hawara...
Wakati mwingine sio lazima kila mtu aone tofauti hata kama ipo. Na ndio maana hata muimbaji halalamikii kuletewa mke mwenza bali kulazwa sebuleni, maana yake yeye ameona tofauti ya mke mwenza na hawara upo hapo????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom