all the best eng mhando
Watu wengine bwana utadhani akili zao ziko katikati ya miguu yaoHapo roho zenu kwatu kabisa! pongezi kila kona kwanini? kwa kuw a kateuliwa William! Angekuwa Juma hapo pasinge tosha hapa.........
Watu wengine bwana utadhani akili zao ziko katikati ya miguu yao
Wewe mdini bado upo hai? Duh, kweli watu wasio na input huishi muda mrefu..Hapo roho zenu kwatu kabisa! pongezi kila kona kwanini? kwa kuw a kateuliwa William! Angekuwa Juma hapo pasinge tosha hapa.........
iHapo roho zenu kwatu kabisa! pongezi kila kona kwanini? kwa kuw a kateuliwa William! Angekuwa Juma hapo pasinge tosha hapa.........
Hii unakuwa huwatendei haki watendaji wengine.Mh Mhando nampa pongezi nyingi.
Kwangu ni furaha na kwangu nahisi kububujikwa na machozi. Mhando kwa wasiomjua ni mtu wa watu na ni kiongozi atakayeipeleka TANESCO ktk mwanga. Tukumbuke Mhando akisaidiana na Mramba kama msaidizi wake marketing hakika wamefanya kazi nzuri japo ni vigumu kwa mtu uliyeko nje kuelewa.
Huyu ndiye aliyekuwa akisimamia upelekwaji umeme vijijini tena ktk low cost isitoshe ndiye aliyebeba vision ya TANESCO kule imetoka na kule inaenda.
Imekuwa ni jambo la miujiza sana maana amepata bahati ya kukaa ktk kitengo ambacho alikuwa akikitumikia mzee mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu. Ndugu Maruwa. Maruwa alikuwa hard working na alitarajiwa kuwa Md as mhando leo.
Mimi namuombea heri na fanaka maana He is real a good and nice man.
Hongera Muhando.
An object at rest tends to stay at rest and an object in motion tends to stay in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an unbalanced force.
disappointed b'se no change because of this reality please check
Watu wengine bwana utadhani akili zao ziko katikati ya miguu yao
ha ha ha ha .......