Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,488
20,445
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
 
Dah inasikitisha sana tena sana. Mimi hapa nimeshindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme halafu kuna mtu anajiona aliitendea haki kweli tanesco. Maharage kosa lake analijua. Watanzania wanataka umeme na ndiyo maana Dkt Samia kamuondoa maana ameharibu sana image ya rais wetu. Sisi chawa tupo na Mama na siyo wahujumu uchumi kama maharage na uzuri mama ni mama
 
Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa"

Nenda kaanzie Maharage alipofikia najua utaweza, nakupa miezi sita nakuangalia pale TANESCO, kazi yako ya kwanza kusimamia ukaratabati wa hiyo mitambo lakini baada ya hiyo miezi sita nisisikie kelele tena za kukatika kwa umeme, kwahiyo tutasaidiana lakini nenda najua utaweza, sawa.?”
 
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi umeongezeka,uzalishaji,usambazaji pamoja na ukisasa umeongezeka , Moto huohuo naupeleka Posta, nashukuru Sana rais kwa kuniona nafaa" Alisema Chande.
Wakuu yapi maoni yenu.
Huo ndiyo ukweli.
 
Anaumwa huyo
 
Huyo alitakiwa kuwa keko
 
Back
Top Bottom