William Malecela ndani ya kamati kuu; tumuombee wadau

Status
Not open for further replies.
Tumechoka kurithishana madaraka, maana tunajenga msingi mubovu amba unaweza kutugarimu vibaya hapo baadae au sisi tukipona unaweza kuliangamiza taifa lijalo.

Kwahiyo; mimi sioni umuhimu wa kuendelea kukabidhi uongozi kwa watoto wa viongozi walewale, na hatawewe nakutahadharisha maana tukiendelea hivi vijana kutoka familia zisizokuwa kwenye uongozi hawatapata uongozi so it is possible to find an altenative way to overcome this situation na ikawa mbaya kwa Tanzania yetu, binafisi mimi simuungi mkono
waaambie wasiokua watoto wa wakubwa wachukue fomu wagombee,huungi mkono umekaa mbele ya computer unapost,kachukue fomu ugombee dhidi yao.wao wanachukua fomu wanashindana wanashinda huwezi sema wamerithi,sioi ameshinda kura za maoni mara mbili,na sasa kura zenyewe jpili akishinda utasema karithi?
 
attachment.php

Huyu kijana wetu wa siku nyingi sauti ya umeme, leo majina yao yanaenda kamati kuu tunamuombea mema wasije wakafanya mchezo mchafu ..bora huyu apite kwani tuko karibu naye sana
Huwa wanageuka huwezi amini ...mwangalie Nape, tulikuwa tuna mwaminia ana hapa JF lakini nini kimetokea baada ya kuingizwa...akawa bingwa wa kutukana hapa jukwaani na mipasho akaenda mbali zaidi akatukana JF kuwa hana ID hapa JF.....yoyote alioko ndani ya CCM...usimwamini hata chembe
 
Wanatakiwa wangapi? Naona mpambano ni mkuu kwa kuwa Ole Millya naye nfani ya nyumba! Nadhani huyu kijana na Ole Milly hawapikiki chungu kimoja kutokana na makundi ndani ya CCM. Namtakia kila la kheri ili JF ipate mwakilishi kwenye jumba pale Arusha.

Mnapoteza muda kumfikiria Ole,hivi kamati kuu inaweza kumpitisha mtu wa lowassa wakati mpango wa kamati kuu ni kumng'oa mpaka Lowassa mwenyewe..
 
Huwa wanageuka huwezi amini ...mwangalie Nape, tulikuwa tuna mwaminia ana hapa JF lakini nini kimetokea baada ya kuingizwa...akawa bingwa wa kutukana hapa jukwaani na mipasho akaenda mbali zaidi akatukana JF kuwa hana ID hapa JF.....yoyote alioko ndani ya CCM...usimwamini hata chembe

Kwa hiyo mtu akiongea kitu against chadema kwa sera ya humu anachukuliwa kama katukana...!

Basi hili sio jukwaa huru,ni jukwaa la chadema may be.
 
Nyie mnaosema tumuombee apewe embu tusaidieni tangu amekaa huko maulaya na mamtoni mamiaka yote amekuja na nini ambacho tunaweza tukamwambia ee Mwenyenzi Mungu angalia Le Mutuz ametuletea hiki msaidie apate kile. Acheni kututia machungu bana alah si akose tuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ulitaka alete nini? Ndo kaja sasa kutoa mchango wake hivo.

Tayari kapita hatua ya mwanzo. Songa mbele mkuu.
 
attachment.php

Huyu kijana wetu wa siku nyingi sauti ya umeme, leo majina yao yanaenda kamati kuu tunamuombea mema wasije wakafanya mchezo mchafu ..bora huyu apite kwani tuko karibu naye sana

.
Mmh, Huyu ni ndugu yake Ipyana?
.
 
Nyie mnaosema tumuombee apewe embu tusaidieni tangu amekaa huko maulaya na mamtoni mamiaka yote amekuja na nini ambacho tunaweza tukamwambia ee Mwenyenzi Mungu angalia Le Mutuz ametuletea hiki msaidie apate kile. Acheni kututia machungu bana alah si akose tuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!

umewai kuuliza wanaoteuliwa kuwa mabaozi wa tanzania huko majuu wakirudi wanawaleta nini watanzania . Sasa sembuse mtu aliyekuwa anapiga "box".

Watu wengine bwana.
 
- Watu wote JF mbarikiwe sana na tupo pamoja, ninawashukuru Kamati Kuu CCM kunipendekeza kugombea ubunge wa EAC na pia ninawashukuru sana JF, this is my home;

- Tumetoka mbali na safari bado ni ndefu ya kulitafutia mabadiliko hili taifa, tulianza na keyboard hapa sasa we are about to make it for real, lets go people. Binadam sio wakamilifu najua kuna niliowakosea humu ni wengi sana NAWAPIGIA MAGOTI KWAMBA NIPO CHNI YA MIGUU YENU MNISAMEHE!

- LONG LIVE TANZANIA, LONGLIVE JF!

William.
 
Woow! Hongera sana mkubwa,mm huwa tunatofautiana sana mitizamo lakini kama kijana mwenzangu na kwa mchango wako mkubwa hapa JF hongera sana! Nilidhani ushiriki wako hapa JF ungekuwa kikwazo lakini imekuwa tofauti! Haya sasa punguza kidogo issue za ngwasuma utafakari jukumu zito mbele yako! Bravo bro!
 
- Watu wote JF mbarikiwe sana na tupo pamoja, ninawashukuru Kamati Kuu CCM kunipendekeza kugombea ubunge wa EAC na pia ninawashukuru sana JF, this is my home;

- Tumetoka mbali na safari bado ni ndefu ya kulitafutia mabadiliko hili taifa, tulianza na keyboard hapa sasa we are about to make it for real, lets go people. Binadam sio wakamilifu najua kuna niliowakosea humu ni wengi sana NAWAPIGIA MAGOTI KWAMBA NIPO CHNI YA MIGUU YENU MNISAMEHE!

- LONG LIVE TANZANIA, LONGLIVE JF!

William.

Le Mutuz, Le baharia, NY guy. Leo hadi msamaha unaomba?
Ha! ha! ha! ha! ha!
Mi nimekusamehe ila kutuwakilisha EAC bado ndugu yangu, u need a little time to study our politics ukizingatia ulikua abroad kwa muda mrefu!
Tulia kwanza bwana mkubwa!!
 
- Watu wote JF mbarikiwe sana na tupo pamoja, ninawashukuru Kamati Kuu CCM kunipendekeza kugombea ubunge wa EAC na pia ninawashukuru sana JF, this is my home;

- Tumetoka mbali na safari bado ni ndefu ya kulitafutia mabadiliko hili taifa, tulianza na keyboard hapa sasa we are about to make it for real, lets go people. Binadam sio wakamilifu najua kuna niliowakosea humu ni wengi sana NAWAPIGIA MAGOTI KWAMBA NIPO CHNI YA MIGUU YENU MNISAMEHE!

- LONG LIVE TANZANIA, LONGLIVE JF!

William.

Mkuu HONGERA sana. Jipange vizuri kwa hatua inayofuata. Tunakutakia kila la heri
 
- Watu wote JF mbarikiwe sana na tupo pamoja, ninawashukuru Kamati Kuu CCM kunipendekeza kugombea ubunge wa EAC na pia ninawashukuru sana JF, this is my home;

- Tumetoka mbali na safari bado ni ndefu ya kulitafutia mabadiliko hili taifa, tulianza na keyboard hapa sasa we are about to make it for real, lets go people. Binadam sio wakamilifu najua kuna niliowakosea humu ni wengi sana NAWAPIGIA MAGOTI KWAMBA NIPO CHNI YA MIGUU YENU MNISAMEHE!

- LONG LIVE TANZANIA, LONGLIVE JF!

William.
Sioni sababu ya kuishukuru kamati kumbe zile kelele zote za kutetea Nape zilikuwa na Plan B yake huna sababu ya kuishukuru kamati wa kuwashukuru in personal unawajua. Nishangae watu hawarudi bongo kirahisi hisi.

Eniwei all the best one thing we know about you is that your not a coward wakuseme kwa mengine, hope utapambana nao hao vibaka.

halafu mbona wapinzani hawapewi na wao nafasi hizi, au ni CCM tu ndio yenye kuweza kulinda maslahi yetu ki taifa nauliza tu.
 
Mkuu kwa sifa hizo jamaa angepambana kwenye siasa za ndani. Hizi za EAC zinamweka nje ya siasa za ndani ambazo zina minyukano na zinahitaji ujasiri. Nakumbuka Dr. Kabouru alimuwa mwiba kwenye siasa za ndani, baada ya kuhama CDM na kujinyakulia Ubunge wa EAC amepotea kabisa kwenye ramani ya siasa za Tanzania.

Labda Le Baharia anaegesha huko ili 2015 aje kwenye siasa za ndani. Kama ni hivyo itakuwa strategy nzuri na hasa akishinda.
 
- Watu wote JF mbarikiwe sana na tupo pamoja, ninawashukuru Kamati Kuu CCM kunipendekeza kugombea ubunge wa EAC na pia ninawashukuru sana JF, this is my home;

- Tumetoka mbali na safari bado ni ndefu ya kulitafutia mabadiliko hili taifa, tulianza na keyboard hapa sasa we are about to make it for real, lets go people. Binadam sio wakamilifu najua kuna niliowakosea humu ni wengi sana NAWAPIGIA MAGOTI KWAMBA NIPO CHNI YA MIGUU YENU MNISAMEHE!

- LONG LIVE TANZANIA, LONGLIVE JF!

William.

Congrats, William! May God's Blessings be upon you.
 
Mkuu kwa sifa hizo jamaa angepambana kwenye siasa za ndani. Hizi za EAC zinamweka nje ya siasa za ndani ambazo zina minyukano na zinahitaji ujasiri. Nakumbuka Dr. Kabouru alimuwa mwiba kwenye siasa za ndani, baada ya kuhama CDM na kujinyakulia Ubunge wa EAC amepotea kabisa kwenye ramani ya siasa za Tanzania.

Labda Le Baharia anaegesha huko ili 2015 aje kwenye siasa za ndani. Kama ni hivyo itakuwa strategy nzuri na hasa akishinda.
Pengine ndio hatua za mwanzo si unajua hata safari ya maili mia moja uanza na hatua moja. Yeye mwenyewe anaelewa mipango yake na yupo hapa, but if you want to know what i think ni kama ulivyosema labda baadae ubunge wa ndani ndio plan yenyewe. hila lazima ujipe jina kwanza kwenye magazeti hata siku akipeleka moto huko mtera tayari wameshamjua, may be just maybe.

Hila yeye ndie mpanga mipango yake na anakusoma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom