William Malecela ndani ya kamati kuu; tumuombee wadau

Status
Not open for further replies.

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
attachment.php


Huyu kijana wetu wa siku nyingi sauti ya umeme, leo majina yao yanaenda kamati kuu tunamuombea mema wasije wakafanya mchezo mchafu ..bora huyu apite kwani tuko karibu naye sana
 

Attachments

  • 527430_3658317455776_1209820481_33686558_1599016219_n.jpg
    527430_3658317455776_1209820481_33686558_1599016219_n.jpg
    8.2 KB · Views: 1,803
Wanatakiwa wangapi? Naona mpambano ni mkuu kwa kuwa Ole Millya naye nfani ya nyumba! Nadhani huyu kijana na Ole Milly hawapikiki chungu kimoja kutokana na makundi ndani ya CCM. Namtakia kila la kheri ili JF ipate mwakilishi kwenye jumba pale Arusha.
 
sijakuelewa mkuu
huyu ni nani ?
anakwenda kwenye kamati kuu ipi ?
anakwenda kufanya nini ?
tafadhari sana tupe up date
.
 
Ila tu wasije wakamhukumu kwamba ameshiriki kwenye JF ambayo utafiti wa akina Mukama ulionyesha kwamba JF ilitumika kuijeruhi CCM!
 
Tumechoka kurithishana madaraka, maana tunajenga msingi mubovu amba unaweza kutugarimu vibaya hapo baadae au sisi tukipona unaweza kuliangamiza taifa lijalo.

Kwahiyo; mimi sioni umuhimu wa kuendelea kukabidhi uongozi kwa watoto wa viongozi walewale, na hatawewe nakutahadharisha maana tukiendelea hivi vijana kutoka familia zisizokuwa kwenye uongozi hawatapata uongozi so it is possible to find an altenative way to overcome this situation na ikawa mbaya kwa Tanzania yetu, binafisi mimi simuungi mkono
 
Tumechoka kurithishana madaraka, maana tunajenga msingi mubovu amba unaweza kutugarimu vibaya hapo baadae au sisi tukipona unaweza kuliangamiza taifa lijalo, kwahiyo mimi sioni umuhimu wa kuendelea kukabidhi uongozi kwa watoto wa viongozi walewale, na hatawewe nakutahadharisha maana tukiendelea hivi vijana kutoka familia zisizokuwa kwenye uongozi hawatapata uongozi so it is possible to find an altenative way to overcome this situation na ikawa mbaya kwa Tanzania yetu, binafisi mimi simuungi mkono

hutakiwi kusema hivyo kila mtu anaruhusiwa kuchukua form na kujaza
 
Ila tu wasije wakamhukumu kwamba ameshiriki kwenye JF ambayo utafiti wa akina Mukama ulionyesha kwamba JF ilitumika kuijeruhi CCM!

hata mimi hio kitu nilikuwa naifikiria sana ila tuome Mungu wasije wakalleta vijembe vyao
 
sijakuelewa mkuu
huyu ni nani ?
anakwenda kwenye kamati kuu ipi ?
anakwenda kufanya nini ?
tafadhari sana tupe up date
.
ni mtanzania mwenzetu
anagombea ubunge wa east africa.
kamati kuu ya chama cha mapinduzi
 
attachment.php


Huyu kijana wetu wa siku nyingi sauti ya umeme, leo majina yao yanaenda kamati kuu tunamuombea mema wasije wakafanya mchezo mchafu ..bora huyu apite kwani tuko karibu naye sana


Willy huna jpya
 
Kama yupo kambi ya Lowasa atashinda lakini kama yupo kambi ya 6 na mama ake hapiti.
 
duh ... mbona kama anatumia supu ya mawe
Remeber niini jukwaa la siasa.
So achana na comment za kuuza uza sura. Kama huna cha kuchangia soma za wenzako. Au ndo nyie mnachagua watu kwa muonekano wa sura.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom