Huyu jamaa ni king'ang'anizi wa kutisha. Kwa nini anatafuta madaraka kwa udi na uvumba?!!!Habari za uhakika kabisa ni kwamba Le Mutuz Big show, Le Baharia @NY City then Dodoma City amejaza na tayari amerudisha forms za NEC -Taifa. Jamaa anapambana na vigogo akina Lukuvi, Mwigulu,Mukama,Nape,Chiligati,Makamba,Shigella, Membe, Lowassa, Bhanji na wengine wengi kuwania nafasi 10 tu! Big up Le Mutuz
Source: CCM-Lumumba
Tanganyika bhana..... Kila mtoto wa kigogo anataka kuwa kigogo. Mfano makongoro nyerere, watoto karibu wote wa marehemu abeid amani karume (r.i.p.) watoto wa a.h. Mwinyi, watoto wa kawawa, wa sokoine, wengi tu list haiishi. Na le mutuz?? Kazi iko.