William Malecela ajitosa NEC-Taifa

Koffie

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
433
92
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Le Mutuz Big show, Le Baharia @NY City then Dodoma City amejaza na tayari amerudisha forms za NEC -Taifa. Jamaa anapambana na vigogo akina Lukuvi, Mwigulu,Mukama,Nape,Chiligati,Makamba,Shigella, Membe, Lowassa, Bhanji na wengine wengi kuwania nafasi 10 tu! Big up Le Mutuz
Source: CCM-Lumumba
 
wasenzi kwenye nchi hii wanatafuta tu madaraka na utawala hakuna la maana hapo litakalo msaidia mwananchi wa kwawaida waliikosa ubunge wanawaniwa ubunge wa afrika mashariki wakikosa narudi NEC yaani full kutapatapa mpaka waupate uongozi ndio watulie waanze kula
 
Kule kura zinapigwa kiitifaki. Wanapewa viongozi wakuu serikalini wakifuatiwa na wale wa sekretarieti makao makuu ya CCM.

Hapa Le Mutuz wetu ameshindwa hata kabla ya kupigiwa kura. Kwa nini hakwenda wilayani kwao kule kwa Mzee JSM? Siasa za CCM na nchi hii Le Mutuz hazijui na amechagua kujifunza kwa njia ngumu sana.
Zile nafasi zimebaki 10 tu kwa bara.

Humo kuna kuzingatia jinsia, uongozi mkuu wa nchi, uongozi mkuu wa CCM na ukubwa wa majina ya wagombea. Ndio maana unaona watu wazoefu na majina makubwa kabisa wamekimbilia wilayani.
 
IMG_0473.JPG Amevaa kaptula
 
Mwambie andae vitumbua tu, atapita. ila jana amekuwa na kashfa humu JF kuna ana tabia kama ya yule jamaa wa songea? mama na mwana, hajakanusha, so is it true?
 
Kweli Le Mutus amechemsha yaani kwa nafasi 10 haambulii chohcote labda angejaribu Wilaya ya Chamwino kwenye Jimbo la Mtera kina Lusinde wangeweza mpisha kidogo Halafu mbona anagombea kila mahali huko ni kujishusha kwani ukikosa kote na kila siku unakuwa kitukoNamshauri Le Mutus arudi JF tutakakomshauri kuliko huko alikoenda kufungua MaBlog kibao na kina Sinta ndo kabisa hakuna mashabiki wa kisiasa
 
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Le Mutuz Big show, Le Baharia @NY City then Dodoma City amejaza na tayari amerudisha forms za NEC -Taifa. Jamaa anapambana na vigogo akina Lukuvi, Mwigulu,Mukama,Nape,Chiligati,Makamba,Shigella, Membe, Lowassa, Bhanji na wengine wengi kuwania nafasi 10 tu! Big up Le Mutuz
Source: CCM-Lumumba

Hili lijamaa linapenda sana kupata sifuri jamani!
Anyway, anahaki ya kujaza idadi, manake asingegombea nani angepata sifuri!
 
Mwambie andae vitumbua tu, atapita. ila jana amekuwa na kashfa humu JF kuna ana tabia kama ya yule jamaa wa songea? mama na mwana, hajakanusha, so is it true?

unazungumzia picha na ma mdogo wake?
 
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Le Mutuz Big show, Le Baharia @NY City then Dodoma City amejaza na tayari amerudisha forms za NEC -Taifa. Jamaa anapambana na vigogo akina Lukuvi, Mwigulu,Mukama,Nape,Chiligati,Makamba,Shigella, Membe, Lowassa, Bhanji na wengine wengi kuwania nafasi 10 tu! Big up Le Mutuz
Source: CCM-Lumumba

304535_4485814622688_1963879997_n.jpg MTOTO.jpg
3(2).jpg

Kama ndio huyu jamaa, akishinda MODS naombeni BAN ya maisha.
 
Kuna wengine wanaingia kwenye siasa kwa sababu wazazi wao ni wanasiasa lakini hawana sifa hata kidogo.
 
Tanganyika bhana..... Kila mtoto wa kigogo anataka kuwa kigogo. Mfano makongoro nyerere, watoto karibu wote wa marehemu abeid amani karume (r.i.p.) watoto wa a.h. Mwinyi, watoto wa kawawa, wa sokoine, wengi tu list haiishi. Na le mutuz?? Kazi iko.
 
Anaye mtu wa kuwagawia wajumbe "kitumbua"? Maana wajumbe CCM walio wengi wanapenda sana vitumbua. Shyrose ataongoza katika kundi hili.
 
Hivi hii jf ndo wapigakura, makamisaa, ama tume ya uchauzi ya nec ya ccm?!, GT mnajiaibisha kwa kuhukumu wasioshitakiwa kwenu.
 
Huyu kijana anahangaika kweli.myaaani utadhani kuku anataka kutaga...kujieleza kwenyewe hawezi atataka siasa
 
Shyrose anagawa kitumbua kipi...?hivi hivi vitumbua vya kula au kile watu wanakula huku wamejifungia
 
Back
Top Bottom