William J. Malecela na upuuzi wake!!

Status
Not open for further replies.
Hili jamaa ni kubwa jinga kweli kweli! Nilimkuta sehemu amebambiwa na malaya 4! Hata aibu hana!
 
Kwani kuna ubaya gani jamani? Kama anauwezo, ni sawa
Mbona Hillary Clinton ni mke wa Ex President Clinton?
Na Mbona Bush ni mtoto wa ex president Bush?
Francois Hollande (french president wa sasa)
Ni mume wa former Parti Socialiste candidate Segolene Royale

Na huyo Segolene Royale ni mkuu wa mkoa sasa hivi
Haya mambo yanatokea sana kwenye siasa.
 
Ni bora hawa wenye uhusiano wa dada, mkwe, shemeji nk na kila mtu anaonesha uwezo fulani kuliko upande wa pili uhusiano ni wa K. Mnabaki kuwapa tu appointment sijui mkuu wa wilaya, viti maalum na ofisi nyeti serikalini, shame on you!!!
 
Nape Nnauye simkubali si kwakuwa ni mtoto wa Marehemu Moses Nnauye, ila uvuvuzela wake, suala la kwamba CHADEMA ni kama familia tuwakabidhi nchi kwanza halafu tutawapima kirahisi, kwasaa wanavyoendelea na harakati za mapambano si rahisi kuwapima hata wakiwa wanafamilia wenyewe si tatizo, kwani kwenye hatua za mwanzo hata kama nui kampuni binafsi inapoanza yaweza kuanza na mke na mme, lakini ikukua inaalika wanahisa wengine. Hii dhambi naweza kuiona ndani ya CCM tu ambao wako madarakani toka 1962, je hamjaweza kuwa na mifumo imara ya kuarika wengine nje ya famila za kina Malecela? hivi mtuy kama Kilango ana uwezo gani kuliko wan wa Same wengine kama si jina la Mzee Malecela?
 
Bonge la Jibu,

USISAHAU WAZIRI WA AFYA ALIEYEKUWA WAZIRI WA ULINZI, NA MADIRECTOR WA MAKAMPUNI KAMA KITENGO FULANI VODA NI WATOTO WA WAKUBWA CCM....

yusufu makamba/ januari makamba, namelok sokoine/edward sokoine, vita kawawa/zainabu kawawa, anna kilango malecela/john samwel malecela, danstan kitandula/luka kitandula, yusufu masauni/ hamad masauni. samahani napita tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom