William J. Malecela na upuuzi wake!!

Status
Not open for further replies.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
FACTS OF NGO: Mwenyekiti ni Mkwe wa Mtei, Muasisi: Mbunge Grace Kiwelu ni Mkwe wa Mbunge Ndesamburo: Mbunge Lucy Owenya ni Mtoto wa Mbunge Ndesamburo; Mbunge Lissu ni Dada wa Mbunge Tundu Lissu: Mbunge Viti maalum Kigoma ni Mchumba wa Mbunge Zitto:
- SWALI: WAKISHIKA NCHI SI NDIO FAMILIA ZAO ZOTE NDIO ZITATAWALA JAMANI? HAWAJASHIKA NCHI TU HIVI SASA WAKISHIKA NCHI ITAKUWAJE? - LE MUTUZ.
William J. Malecela
 
huyu jamaa ana tabia kama za mama yake wa kambo Mama Anne Kilango Malecela, yaani jitu zima lina fikra finyu
 
wilium walimtema balaaaaa,waangalie kina makamba,dr mwinyi,
nasikia kawabwa atasugua bench 2015 maana mwenye jimbo (liziwani)anaenda kulichukua.
na kibaya zaidi angalia mwenendo wa viti maalum vinavyotolewa,
maskini familia ya mwenye haki julius nyerere ilitelekezwa vibaya.
kibaya zaidi nape ndo amebaki mhanga peke yake.

hao ni baadhi tu.
 
Ongezea na hii... Rose Kamili ni Mke/Mtalaka wa Katibu Mkuu Dr Slaa. Mbunge Kiwia ni mjomba wa Mbunge aliyevuliwa Mhe Lema. Mkurugenzi wa Uchaguzi Mr Mrema ni shemeji wa Mbunge Salasini. nk nk.

Huo ndio ukweli, umewekwa hadharani peupee na hakuna ubishi.
Kwa mtizamo wa haraka haraka, CHADEMA inafanana na kampuni au NGO ya familia. Haiwezekani taasisi ya namna hii ikabidhiwe nchi itawale. Tz itakuwa imekwisha.
 
Kwani kunatofauti gani Baba yake , Mama yake na yeye mwenyewe? Si familia nzima bora hao dada, wachumba na wakwe....Ulitegemea watoke wapi wa kukiongoza chadema ? kama Wiliam na mama yake ni wa ccm?
 
Subiri na Josephine basi awe mBunge ili uchonge vizuri!
 
Kwani kunatofauti gani Baba yake , Mama yake na yeye mwenyewe? Si familia nzima bora hao dada, wachumba na wakwe....Ulitegemea watoke wapi wa kukiongoza chadema ? kama Wiliam na mama yake ni wa ccm?
pamoja na hayo yote wamewavua magamba nguo balaa,sasa hapo ni hao tu waliotajwa hamkai mkatulia ,ingekuwa zaidi ya hapo si mgetoa roho kabisa,halafu wote ni majembe ya ukweli .chezea chadema weye utaumbuka.
 
Nyani haoni kunnddule, william ni mtoto wa waziri mkuu wa zamani, john malecela ambaye pia alikuwa mbunge na makamu mwenyekiti wa ccm. William alitaka ubunge wa afrika mashariki, kwanini naye anajiingiza kwenye siasa? Ni kwa sababu ya kuwezeshwa na mazingira ya kuwa mtoto wa mwanasiasa, kujaribu kutumia jina la baba yake. Kama isingekuwa jina la baba yake (mwanasiasa) nani angemjua?
 
"You are not who are, you are what you make". Kwangu mimi viongozi wa juu (wa chama chochote kile) wanatoka familia moja sio shida hata kidogo, shida ni utendaji/uwajibikaji wao. Kwa mimi nataka maji safi, barabara za uhakika, elimu bora, huduma nzuri za afya, usimamizi mzuri wa rasilimali za nchi etc. I dont care wanasimamia hayo mambo wanatoka wapi, wana mahusiano gani.

Mawazo kwamba sasa tuanze kuangalia 'mahusiano' baina ya viongozi badala ya kuangalia uwezo/uwajibikaji wao ni kutoa watu kwenye mambo ya msingi. Na hata katiba (hii mbovu) tuliyonayo haikatazi wana ndugu kushika nyadhifa mbalimbali kwa wakati mmoja.

Siasa za ccm ya sasa zinasikitisha sana. Nchi hii inaliwa na mchwa lakini wanatoka ma-strategists na hoja za kipuuzi kama hizi.
 
Kumjadili huyo bonge kwanza ni kupoteza Muda wao familia nzima wanasiasa kwani hakuna kazi nyingine kama si kubebana
 
Coming back to JLO ndio movie inayokuja ya Sintah. Kubwa jinga Le Mutuz ndio nalo lipo huko, siasa imeshamshinda sasa amebakia kuimba Taarabu tu, mamiyake.
 
Kwani analalamika nini mtoto wa John? Ndio hali halisi ya nchi yetu na dunia kwa ujumla mbona. Ningemuona wa maaana sana angeanza kulalamika nyumbani kwao ambako Baba yake na mama yake ni/walikuwa viongozi CCM!
 
...Mkuu siku zote nyani huwa haoni kundule huona yale ya wenzie. Kelele zote hizi ni katika kujaribu kujisafishia njia kuelekea 2015....Njaa kali inamsumbua sana....usicheze kabisa na njaa kali.

Kwani kunatofauti gani Baba yake , Mama yake na yeye mwenyewe? Si familia nzima bora hao dada, wachumba na wakwe....Ulitegemea watoke wapi wa kukiongoza chadema ? kama Wiliam na mama yake ni wa ccm?
 
MTOTO.jpg
 
FACTS OF NGO: Mwenyekiti ni Mkwe wa Mtei, Muasisi: Mbunge Grace Kiwelu ni Mkwe wa Mbunge Ndesamburo: Mbunge Lucy Owenya ni Mtoto wa Mbunge Ndesamburo; Mbunge Lissu ni Dada wa Mbunge Tundu Lissu: Mbunge Viti maalum Kigoma ni Mchumba wa Mbunge Zitto:
- SWALI: WAKISHIKA NCHI SI NDIO FAMILIA ZAO ZOTE NDIO ZITATAWALA JAMANI? HAWAJASHIKA NCHI TU HIVI SASA WAKISHIKA NCHI ITAKUWAJE? - LE MUTUZ.
William J. Malecela

yusufu makamba/ januari makamba, namelok sokoine/edward sokoine, vita kawawa/zainabu kawawa, anna kilango malecela/john samwel malecela, danstan kitandula/luka kitandula, yusufu masauni/ hamad masauni. samahani napita tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom