Will you accept an appology, if...?

Haka kwenda kuomba msamaha wa aina hii inataka mtu awe na roho ya kijasiri sana.
 
sas utaenda kuomba msamaha ili kiwe nini?
kiukweli kisaikolojia ni aina ya ubinafsi!
kama kweli unauomba msamaha kutoka moyoni that means hutaki kukaa nalo moyoni unaamua kusukumiza maumivu kwa mtu mwingine
 
Haka kwenda kuomba msamaha wa aina hii inataka mtu awe na roho ya kijasiri sana.

Kuna mawili, labda kweli anajuta na anataka kufanya the right thing BTW nilishawahi kuambiwa kuwa kwa waislamu, ukiiba mke wa mtu, ili usamehewe na allah; lazima ukatubu kwa mumewe uende na panga kabisa, na huyo mume anaruhusiwa kulitumia hilo panga kukuua. So huenda umetubu from your heart, AU

Ni kiburi au dharau just kukuonesha kuwa s/he can do anything na huwezi mfanya chochote; hii inahitaji GUTS zaidi.
 
Kati ya mawili yote inawezekana

Lakini kwa nini mtu afanye hilo la pili??
Keshamwibia mmewe, bado amuoneshee nini? Ni wehu tu kama wehu wa kuokota makopo

Si wehu, kwakuwa anajua anachokifanya, ni unyama tu (unhuman kabisa). Si yanaimbwa kila siku kwenye taarabu hasa kwa upande wa kina dada. It is enough kuiba mume wa mtu, haifai kuongeza kosa kwa kumuumiza muhanga kwa ukweli mchungu.
 
In your relationship or marriage life and it happened someone came to you and say “I’m very so sorry I had affairs with your spouse".

Will you,,...?

I will ila we na uhakika wameachana. Kama bado ni bora tu aendelee siku akifumbuka macho aje na uhakika wa kusamehewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom