Will Smith is no more

naona kama uzushi mbona nimecheki hakuna latest news kwenye GAN na CCN hakuna issue kama hiyo naomba unipe link ya hiyo habari tafadhari
Kweli kabisa nimepata relief ya hatari, yaani huo uzushi mie hata sikuwahi kuusikia nimetumiwa tu email nikapewa link ya global news, cheki hii.....................

Will Smith is not dead. Rumor is swirling on the social networks that Will Smith fell to his death while shooting his new movie in New Zealand. This rumor has been on the internet for over four weeks and it is not true. We know this is not true, as Will Smith is in New York filming Men In Black III and not New Zealand.
Sometimes these rumors get out of hand and become trending topics and posts all over facebook walls, so GlobalGrind wanted to clear the air and report that big Willy Style is alive and well. His kids most recently hung out with Will on his movie set joined by their good friends, Paris, Prince and Blanket Jackson.
 
Loh! jamani mbona tunapandishana pressure kwa watu ambao ni fani zetu. Halafu nimeshaona watu wanozushiwa kufa mara nyingi huja kufa kweli. Mungu amsaidie.

Kesheni muombe msije mkaingia majaribuni kwa kuwa hatujui siku wala saa.
 
kuna uzushi na uzushi,
uzushi huu mimi sijaupenda kabisaaaaa!!!
unataka kutupa pressure wenzio,
tuonee huruma,
ungesema labda fisadi fulani hivikama............ anaetupa shida hapa Tanzania kufikiria mambo ya maana, ameamua kuhama tanzania kwenda kuwa monk korea, mali zake zote kaziingiza kwenye sekta binafsi, kidogo ingeleta burudani.

huyu kaka ni kati ya watu wachache wanaonivutia kuangalia sinema mwanzo hasi mwisho.
 
Back
Top Bottom