Wilaya zenye baridi sana Tanzania

KARATU Arusha..kama baridi linatumwa vile na vile vilima vya ukweli na uongo basi utakoma
 
Makete ni tatizo na nusu😄shuleni wanafunzi wanaruhusuwa kwenda na vigae vya moto,mwalimu anapasha mikono kwenye kigae kabla ya kushika chaki😅😅..Sijajua siku hizi kama kuna mabadiliko,nikitambo sana sija gusa mitaa hiyo.
Mapembelo ng'ala😂😂
 
Wakuu bila shaka ni wazima,

Mimi ni mtu naye penda sana kitu inaitwa hali ya hewa. Kuna jamaa anatoka Makete aliwahi nisimulia baridi ya huko. Nikasema isiwe kesi nikatinga msimu wa baridi mwaka jana. Aisee ni noma. Ila jamaa wamelizoea. Kama mgeni hutakaa urudi tena. So far nimetembelea.

1. MAKETE
2. NJOMBE
3. MAKAMBAKO.
Bado MUFINDI NASIKIA NAKO SI HABA.
Hii ni nyanda za juu kusini.

Hebu tupeane update wilaya zenye baridi na linakuwa msimu upi sana.

Nawasilisha.
Sumbawanga naona haitajwi kabisa
 
Karibu moshi milimani huku uone watu wanavyotoka kamasi sababu ya baridi

Majuzi ilikuwa baridi ni 10'c
 
Wakuu bila shaka ni wazima,

Mimi ni mtu naye penda sana kitu inaitwa hali ya hewa. Kuna jamaa anatoka Makete aliwahi nisimulia baridi ya huko. Nikasema isiwe kesi nikatinga msimu wa baridi mwaka jana. Aisee ni noma. Ila jamaa wamelizoea. Kama mgeni hutakaa urudi tena. So far nimetembelea.

1. MAKETE
2. NJOMBE
3. MAKAMBAKO.
Bado MUFINDI NASIKIA NAKO SI HABA.
Hii ni nyanda za juu kusini.

Hebu tupeane update wilaya zenye baridi na linakuwa msimu upi sana.

Nawasilisha.
Kuna hiyo Sehem Inaitwa Bashnet ipo Manyara ni Balaa
 
Back
Top Bottom