Wilaya mpya ya Wanging'ombe watishia kuhamia CHADEMA

siku hizi kama mabo hayendi mtaani kwako,tishieni kuhamia chadema tu,huduma zitarekebishwa faster!!!!!
magamba bwana,wamekwisha.

ni kweli sasa mgomo wa madaktari watakuwa cdm tu,walimu wanataka kugoma chanzo cdm,mmh bado hata mvua ikigoma kunyesha kwenu walaumiwe CDM mmh cdm wanawanyima watu usingizi
 
Wakubaliane na mkuu wa wilaya au wasikubaliane lakini watu kuhamia Chadema haliepukiki. mia
 
Wakubaliane na mkuu wa wilaya au wasikubaliane lakini watu kuhamia Chadema haliepukiki. mia
 
Back
Top Bottom