WikiLeaks: Tanzania official fears for his life!

How do add a new topic in the list? i can not see the options of adding new topic just , i see new post today posts and other
 
Kikwete kweli wewe mkweche, muda wote unawaza sanaa tu, ni lini utakapo kuwa serious?
dk hoseah adaiwa kufichua siri za jk monday, 20 december 2010 23:53 0diggsdigg

waandishi wetu

mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (takukuru), dk edward hoseah, anadaiwa kufichua siri za rais jakaya kikwete kwamba kiongozi huyo wa nchi asingependa vigogo serikalini kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa.
hoseah.jpg
dk hoseah

kadhalika, mkuu huyo wa takukuru anadaiwa kushindwa kuwafikisha mahakamani vigogo waliohusika na kashfa ya rada kwa sababu anahofia usalama wake, gazeti la the guardian la uingereza liliripoti juzi.

Mbali na hofu hiyo, gazeti hilo pia lilieleza juzi kuwa dk hoseah alipewa maelekezo maalumu na rais kikwete kutoshughulikia kesi za rushwa zinazowahusu vigogo katika serikali yake na hasa marais waliomtangulia. the guardian lilitoa taarifa hiyo likiunukuu mtandao wa habari wa wikileaks uliojizolea umaarufu duniani kwa kutoa habari za kiuchunguzi hasa baada ya mwasisi wake, julian paul assange, kutiwa matatani.

Kwa mujibu wa habari hiyo, dk hoseah, alisema hayo julai 14 mwaka 2007, alipokuwa akizungumza na mwanadiplomasia wa marekani, purnell delly jijini dar es salaam. Alisema uchunguzi wa kashfa ya rada ni hatari kwake kwa kuwa vigogo nchini, hawaguswi kwa tuhuma na kwamba "tayari alikuwa ameanza kupata vitisho".




halafu maaskofu wanatuambia kuwa jk ni chaguo la mungu. Mungu yupi? Watanzania tuko ndani ya kaburi.
 
Wabongo ni wagumu kuelewa, hivi kweli miaka mitano aliyokaa JK ikulu mumeshindwa kubaini kuwa huyu mkwere hawezi kazi ya urais? Huyu mtu nidhaifu mno kuweza kuchukuwa maamuzi magumu kwa maslahi ya nchi ma watu wake, ni mwepesi kuchukuwa maamuzi ya kuwanufaishi washikaji zake ambao ni mwiba kwa watanzania. UFISADI HAUWEZI KUTOKA NCHI HII CHINI YA UTAWALA WA CCM NA JK WAKE. OLE WAO VIONGOZI WA DINI WALIOSEMA JK NI CHAGUO LA MUNGU, HAWA NDIYO WATAKUWA KUNI ZA KUWACHOMEA WENGINE.
 
KAMa KUNA MTU ANA CV YA DK HOSEAH AIPOST HAPA MAANA NAFIKIRI TATIZO NI LUGHA HAPPA INAWEZEKANA DK HAJUI KIMOMBO VIZURI SASA MMAREKANI KAELEWA VINGINE WAKATI DK ALIKUWA ANAELEZA VINGINE

CV PLS TUJUE ALIUNGA UNGA WAPI KUPATA UDAKTARI


Hivyo ndivyo Hosea anataka tuamini!! Hosea ni mwanasheria kuanzia LLB mpaka PhD yake iweje leo aseme hakumaanisha hivyo?? Unless akiri hadharani kuwa alikuwa anafikiria kwa kisukuma na kuongea kwa Kingereza then tutamwelewa. Lakini kama tatizo kweli ni lugha basi OUT wamsimamishe kufundisha maana atakuwa anwapa upupu wanafunzi wa sheria pale OUT.

USA, British governments etc wanashindwa kukanusha bali yeye tu ndiyo wamemtungia??? Hivi kweli anafikiri WatZ ni wachovu wa kufikiria siyo??? Yeye asubiri tu panga lake kutoka kwa JK, maana JK kisha jua anavyomsema akienda huko kwenye balozi za wakubwa.
 
Wabongo ni wagumu kuelewa, hivi kweli miaka mitano aliyokaa JK ikulu mumeshindwa kubaini kuwa huyu mkwere hawezi kazi ya urais? Huyu mtu nidhaifu mno kuweza kuchukuwa maamuzi magumu kwa maslahi ya nchi ma watu wake, ni mwepesi kuchukuwa maamuzi ya kuwanufaishi washikaji zake ambao ni mwiba kwa watanzania. UFISADI HAUWEZI KUTOKA NCHI HII CHINI YA UTAWALA WA CCM NA JK WAKE. OLE WAO VIONGOZI WA DINI WALIOSEMA JK NI CHAGUO LA MUNGU, HAWA NDIYO WATAKUWA KUNI ZA KUWACHOMEA WENGINE.

Nyie ndio wakurupukaji, mnataka watu wapelekwe mahakamani bila ushahidi halafu baadae mje mseme serikali haikuwa makini na watu kulipwa mabilioni ya fidia.
 
Hosea anacheza both sides of the fences tu, yeye mwenyewe fisadi papa.

Hapa alikuwa anajihakikishia tu kwamba siku moja mambo yakibumbuluka anakwenda Marekani na kupewa Green Card, na wamarekani kuna kitu wamepata ambacho hatukioni katika hizi cables. Kwa sababu siamini kwamba wamarekani na intelligence yao hawajui uchafu wa Hosea, sasa walivyomuandika kama crusader hapo obviously kuna deal linaendelea kati yao na Hosea. Wamarekani wako so cynical kwa kawaida, ningetegemea hata neno moja la kumtilia shaka Hosea, lakini wamemuandika kama mzalendo anayepigana dhidi ya rushwa bila ushirikiano wa rais, Hosea anawapa Wamarekani kitu gani ?

Tunajua yote aliyosema Hosea most probably ni kweli, lakini kuna mengine hawajaweka wazi hapa. Something is missing, Hosea anawapa nini Wamarekani ?

Hivi kwa hali ya kawaida kabisa kauli ya Hosea kwa Afisa ubalozi wa Marekani si moja kwa moja Usaliti na uhaini wa moja kwa moja kwa nchi. Iweje afisa aliyepewa dhamana kubwa kumla kisogo kiongozi wake wa dola kwa jambo sensitive kama hilo, Pia kwa vyovyote hosea alifanya hivyo kwa kuahidiwa mambo fulani fulani vinginevyo sidhani km angekubali kujishebedua kiasi hicho buree!

Swali: alichoahidiwa ni kwa manufaa ya nani? Yake binafsi ama ya nchi...? Lakini kwa hali ilivyo ni kwa manufaa yake. Sasa naweza kuona mantiki ya kwa nini Hosea alikuwa wakwanza kujiingiza kumsafisha Chenge wakati wa fitna za kumchakachua Sitta..kumbe alitumwa na waliomtuma ndo wanadhihirika kwa milango mingine.
 
Wenyewe wanavyomuelewa bwana Hosea....

QUOTE:

Hosea, who's said to be a devoted Christian who goes to church every Saturday, has sent his wife Sarafina and children Magembe and Shoma to the US on forged documents. His wife is being paid about $9,500 per month. (All documents with regard to this scandal are available). It's no secret that Hosea also owns a house in the US. This is the man who is supposed to be in the forefront fighting corruption.

Recently, Hosea received a lot of money from Barrick Gold as an inducement to interfere a Court Case. It's Barrick who have built him a multibillion house at Mbezi Beach. The house is in three plots where you meet eight (eight??) dogs on guard and bills settled by PCCB. It's the same Hosea who is fully involved in Prof Mahalu's case, and that's why there are two conflicting reports on Mahalu's investigation report. One prepared by Hosea himself and the other by PCCB. Hosea, who's at the payroll of Mohamed Enterprises Ltd has caused Tanzanians to suffer a lot following his failure to investigate a multibillion fertilizer scandal involving the company. The outcome was the decision by the Japanese government to cancel a fertilizer grant to Tanzania.
 
How do add a new topic in the list? i can not see the options of adding new topic just , i see new post today posts and other

Mkuu mbona unachanganya habari katika mjadala huu mtamu, nenda kwenye Forum kisha chagua forum ambayo post yako inafaa, kisha chini utakuta maneno post new Topic, tuhabarishe.

TANZANIA IMEFIKA PABAYA SANA. kuna umuhimu mkubwa wa kuingia barabarani, la tuanze kufyekana ili ijulikane kama tumekufa kuliko kujiona tu hai kumbe tulishakufa.
 
Labda Hosea thought kuongelea ubalozi wa US is a favourable condition to the growth of legend. Legend belongs naturally to primitive communities where minds are so little differentiated, by work or play or education, that a story can move quickly from brain to brain uncriticized. But sometimes these conditions arise artificially. A common danger, purpose or wayof life can very nearly destroy differences of intellect and class! This time tuone kama atasema ''singóki ngó''.
 
- Wewe ungekua mkuu wa kazi wa Hosea ungemfukuza kazi kusema hayo maneno empty? I mean kipi kipya hapo ambacho wananchi wa hili taifa hatukujui na ni neno gani hapo la maana sana linaweza kumfungisha kiongozi yoyote wa taifa letu kwenye sheria hata za huko majuu?

- I mean tizama Wikileaks za huko majuu hasa US, jina kwa kitendo Mfalme wa Saudia anaitaka US iitundike mabomu Iran boom kwenye sheria hapo anaondoka mtu, kwanza hata nina wasi wasi sana na hii Wikileaks iliyoitaja bongo na kina Hosea kama ni for real, naiona kama imefinyangwa na mafisadi kutuzuga wananchi, Wikileaks za kweli huwa ni clear hazina maneno ya ujanja ujanja kama hiii yetu, it is simply fake sio ya Assange mzee wa datas original!

William.

Samahani mkuu,wewe kweli una akili?,are you perfectly minded?.Yaani unataka useme hao Wikileaks wamezusha?,wangeanzaje kuzusha tu habari iliyonaswa kwenye shughuli za balozi wa Marekani kwa hali ambayo hata yeye mwenyewe Hosea amekiri kwamba ni kweli aliongea na huyo balozi ila tu anataka akanushe hizo habari.Au na wewe ni mmoja wa hao watuhumiwa nini,sema ili tukufahamu.Just do this,EXPAND U'R THINKING CAPACITY, THEN YOU WILL KNOW THE TRUTH.
 
How do add a new topic in the list? i can not see the options of adding new topic just , i see new post today posts and other


Kwanza chagua forum unakotaka kupost eg Uchaguzi, siasa au sports. Pili, tafuta neno new posts kule juu kabisa chini kidogo ya neno FORUM (liloandikwa kwa herufu kubwa. Tatu. Jirushe. Unfortunately Kiingereza changu ni cha under ze mango tree so sitakujibu kwa kiingereza chako
 
Je, Kikwete alisema au kufanya nini mpaka Hosea ahitimishe kwamba anaonekana hayuko comfortable kuacha sheria ifuate mkondo wake dhidi ya mafisadi? Je, Hosea atakuwa tayari kutwaambia umma wa Watanzania kilichojiri mpaka akahitimisha hivyo?

Hosea kama uliweza kumwambia ofisa wa ubalozi wa Marekani basi Watanzania tutafurahia sana na kukupongeza ukakiweka bayana hicho ulichomwambia huyo ofisa wa ubalozi na tunakuomba usipate kigugumizi.


Aliamini anatoa hayo maneno kwenye secure channel , hakujua kama yanaweza ku leak . Kifupi hawezi kusema wazi wazi zaidi ya kuagiza watendaji wake watoe waraka wa kusafisha watuhumiwa wa rushwa sawasawa na matakwa ya wala rushwa ;
 
Kikwete si mjinga. Ameona yaliyomkuta mareheumu Umar Yaradua wa Nigeria. Alipambana na mafisadi wakubwa lakini sasa hivi yuko wapi. (RIP)
Pia kumbuka pale Pengo alipoenda kumzika kadinali mwenzie wa kanda ya Ziwa alichosema; mbele ya mkapa alisema, hao wanaodai wanapinga ufisadi ni kwamba tu na wao hawakupata nafasi , kwani nao wangeiba, sasa unatarajia nini hapo?
Kikwete alipojaribu kuwapeleka tu mahakamani akina liyumba, mramba, yona na mgonja watu (hata humu JF) walisema Kikwete anawahujumu wakristo, mara imekuaje kuwapeleka watu wa mkoa mmoja mahakamani na mengineyo mengi. Sasa nyinyi (wajinga) mnalalmika nini. kwakweli natumia neno hilo ili liwauzi kwani mnakera.
Sasa leo jiulize hivi leo Kikwete akijaribu kurukusu uchunguzi wa mkapa na watu wa jamii yake na hatimaye kumpeleka mahakamani unatarajia nini? Jk kaa kimya waache warap. mwisho watachoka.
Si kwamba JK hajui kuna;
kiwira
rada
ndege ya ya rais
ndege za jeshi
nyumba za serikali kuuzwa
meremeta
tangold
mwananchi
tanesco
NBC
ATC
BOT
miradi mingi ya madini na 10%
na mengineyo mengi.
Ila tu watu wenyewe ni vigeugeu.
kwa kweli JK nakusapoti mpaka hapo watakapobadilika wenyewe, kwani wao wenyewe ndo vigeugeu wala hawaeleweki kama popo.
Huyu atakua jk mwenyewe ama Ridhi kwa jinsi alivyoandika tu unaweza kuona,ni jambo zuri kuona na wewe mheshimiwa unashiriki mijadala huru kama hii,pongezi sana.
 
Hosea anacheza both sides of the fences tu, yeye mwenyewe fisadi papa.

Hapa alikuwa anajihakikishia tu kwamba siku moja mambo yakibumbuluka anakwenda Marekani na kupewa Green Card, na wamarekani kuna kitu wamepata ambacho hatukioni katika hizi cables. Kwa sababu siamini kwamba wamarekani na intelligence yao hawajui uchafu wa Hosea, sasa walivyomuandika kama crusader hapo obviously kuna deal linaendelea kati yao na Hosea. Wamarekani wako so cynical kwa kawaida, ningetegemea hata neno moja la kumtilia shaka Hosea, lakini wamemuandika kama mzalendo anayepigana dhidi ya rushwa bila ushirikiano wa rais, Hosea anawapa Wamarekani kitu gani ?

Tunajua yote aliyosema Hosea most probably ni kweli, lakini kuna mengine hawajaweka wazi hapa. Something is missing, Hosea anawapa nini Wamarekani ?

hiyo ndio "makida makida"...................?
 
Ni lini wazungu wakawa na nia njema kwa waafrika? Nafanya nao kazi nawaelewa. They normally play around things! Nagombana nao kweli na wananichukia kwa kuwa sipendi umbeaumbea. Hasa hasa Waingereza na Wamarekani.

ataleast wao "Kijiko" wanaita "Kijiko"..............na si "Koleo/beleshi"
 
Hii inanifanya nianze kuamini uvumi kuwa Balali shaidi namba moja yupo hai na hajafa unless waje na reason nyingine, maana Balali akipatikana viongozi wetu wote wanaishia mahakamani. kweli tuna genge la mafia ndani ya nchi yetu na watanzania wamelala tu mbumbumbu bila hata kuchukua hatua

Swali moja linaulizwa na watu halijibiwi nani ameuona mwili wa balali na mazishi yake? Ndipo unajua Tanzania is another italian Mafia style
 
Back
Top Bottom