WikiLeaks: Tanzania official fears for his life!

:drum:

Lakini hebu tujiulize: mwaka 2007 kama sikosei, Hoseah alimsafisha Lowassa katika sakata la Richmond, mwaka huu, kamsafisah Mzee wa vijisent ili agomgee uspika. je JK alihusika katika uchunguzi? kwa nini atende na amrushie mzee wa watu lawama? je hoseah mwenyewe kweli ni msafi kivile? ananufaika vipi kwa kumvua nguo rais wake tena kwa mtu asiye na uchungu na nchi hii? Kwanini JK anafanywa kionja mbele ya macho ya kidunia? hapana. kama alivyowahi kusema Prof Lipumba .............. kwa vyovyote vile ukisoma taarifa hiyo hoseah anaonekana ana matatizo, anajijengea wigo wa kutoondolewa kwenye nfasi hiyo na kama ataondolewa akapokelewe marekani, kama mimi mwongo mtaona
 
kweeeli nchi imefikia patamu............yaani hapa nimenyanyua hizi tentacles zangu kusubiri ya JK
 
kweeeli huyu jamaaa amejidhihirishia kuwa yeye ni KIBARAKA na ndo viongozi anaowapenda mkulu wa inchi(hupenda wale wataomfichia maovu yake)
 
Back
Top Bottom