Wikileaks: Nyaraka mpya za siri zimevujishwa. Tanzania & kenya zatajwa. Steve Jobs alikufa kwa ngoma (HIV)

badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,450
2,702
Jana mtandao wa wikileaks uliachia baadhi ya taarifa za siri kuhusiana na watu maarufu pamoja na Nchi mbalimbali.

Mwanzilishi wa kampuni ya apple marehemu Steve Jobs alikufa kwa ukimwi. Mimi ndio maana nikiona mwanamke anatumia iPhones sina muda nae wala simtongozi.

Taarifa za siri za serikali ya Tanzania ni pamoja na ripoti ya Richmond na Epa pamoja na Reginald mengi wengine ni wakili sandi hapo moshi naweka link usome mwenyewe.

View: https://twitter.com/CartlandDavid/status/1731842247157534831?t=mHMvAcsTEydquBxzE7Or8w&s=19
 
Attachments

  • Screenshot_2023-12-05-06-43-19-310_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2023-12-05-06-43-19-310_com.twitter.android.jpg
    64.5 KB · Views: 9
Vipi Assange anaendeleaje lakini??? Namkubali sana mwamba huyu
 
Jana mtandao wa wikileaks uliachia baadhi ya taarifa za siri kuhusiana na watu maarufu pamoja na Nchi mbalimbali.

Mwanzilishi wa kampuni ya apple marehemu Steve Jobs alikufa kwa ukimwi. Mimi ndio maana nikiona mwanamke anatumia iPhones sina muda nae wala simtongozi.
Wengi wanazipata kwa kufanya matendo haramu kinoma, kama si wewe uliyemnunulia kama zawadi, kuwa makini
Taarifa za siri za serikali ya Tanzania ni pamoja na ripoti ya Richmond na Epa pamoja na Reginald mengi wengine ni wakili sandi hapo moshi naweka link usome mwenyewe.

View: https://twitter.com/CartlandDavid/status/1731842247157534831?t=mHMvAcsTEydquBxzE7Or8w&s=19
 
Naipitia tena taarifa ya kamati teule ya bunge kuhusu Sakata la RICHMOND pasi na shaka mpaka kufikia ukurusa wa 23 naweza kusema "nchi hii haijawahi kuwa serious, uwajibishwaji haupo kwa ngazi za juu, kuna watu wamekua na nguvu kubwa sana kushinda mamlaka, yawezekana kuna watu ndio mamlaka yenyewe"
Hapa tulipofikia leo hii 2023, ni Makosa yaleyele yanaendelea kujirudia kwa sekta hii ya Nishati.

Hakika tunapigwa sana!
 
Nimeona epa na Richmond inatosha kuamini hiyo leak ni ya kweli nikitulia napita nazo
Nimeanza na Richmond, Nimeamini kwamba wizara ya Nishati imewahi kuwa na inaendelea kuongozwa na watu walio na viburi, wezi na wabadhilifu miaka na miaka.
 
Nimeanza na Richmond, Nimeamini kwamba wizara ya Nishati imewahi kuwa na inaendelea kuongozwa na watu walio na viburi, wezi na wabadhilifu miaka na miaka.
Hii nchi ishakua shamba la bibi cake ta taifa inailiwa na wanasiasa, Kuna clip ime leak kwenye mkutano wa ccm arusha umeiona?
 
Hakuna nyaraka mpya hapo, mbona hizi tunazo kwa miaka sasa?

I downloaded a whole dump some years ago and did not have the time to go through it all.

There are so many files it is hard for one person to go through them all.
 
Back
Top Bottom