Wiki moja kabla ya Machozi... Zitto???

With due respect!hivi huyu Zitto hata hapa JF ana wapambe au ndio tumesahau jukumu letu la kutetea maslahi ya wadanganyika? maana even a blind can see that he's being pampered.Achilia mbali kina Lipumba hata Prof.Wangwe amekana taarifa yake ya hali ya mazishi ya MP Wangwe.Pamoja na Mzee Mwanakijiji kumpamba kwa matukio ambayo hayawezi kuwa accounted for, ukweli unabaki hakusema ukweli kuhusu kukichojiri Tarime.Na sijui kama huyu anaweza kusimama kama mtetezi wa wadanganyika,he's simply not credible.

mwaga ukweli yaliyotokea tarime mkuu, ukishindwa Zitto alikuwa sahihi. Zitto atabaki kuwa Zitto ambaye kwa sasa ni mmoja wa mashujaa wa Taifa hili, hapambwi hajajipamba, anapambika , lakini pia anachafuliwa na mtu kama wewe ambaye ni kipofu wala huwezi ku-evaluate what Zitto as done so far!

Tuambie wewe unampamba nani? usiseme Nyerere ameshakufa!
 
Unajua nini mimi siamini ni watu kwa niaba ya serikali au CCM; naamini kuna mtandao wa uhalifu (organized crime group) ambao hawatasita kufanya kweli kwa mtu YEYOTE awe CCM, upinzani, kanisa, serikalini, mtaani n.k as long as kwamba wanamuona mtu huyo ni tishio kwao na maslahi yao.

Guys,
Have you ever heard of "Economic hit men?" I think that's what it is. Those guys like Barrick Gold Corp, usidhani ni wajinga. Waogope sana! Wako willing kuua ili kulinda maslahi yao. Sitashangaa kusikia kuwa hata kifo cha Wangwe (kwa jinsi alivyokuwa anawapiga vita) kulikuwa na mkono wao.
 
Mwanakijiji,

Nakuaminia mkuu... una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja zisizokuwepo...

Hili nakuvulia kofia kwa mara nyingine tena... Kama ulivyodai kuonyeshwa picha ya Marungu kutoka kwenye ile thread nyingine.

Unaonaje ukatuwekea picha ya hiyo message?

I dont think kama ile ni hoja! maana wengine hatukuifahamu ile ni taarifa tu, Ni wakati gani taarifa ya MKJJ aitakuwa true na wakati gani itakuwa imetungwa mtu anisaidie hapa.Na kama MKJJ anafanya hivyo usemavyo wewe basi si yeye tu, wengine pia waweza fanya the same. Naam kama kila mtu anaweza kutunga kitu na kuweka humu, basi hii forum ifungwe.Na kama haitafungwa maana yake si ya uongo(au watu wameridhia basi!) wala vitu havitungwi kwa hiyo the serious man has to quit coming in, perusing and contributing
Kama kwa status yako unasema watu wanatunga uongo humu ndani hujitendei haki maana siku zote hizi! unasubiri nini kuondoka, au kwa nini usome.Be careful !!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Waberoya
 
Oh, please! Give me a break! Hivi wewe Waberoya unajua nini maana ya neno "forum" kweli? Sio lazima kila kitu hapa kiwe factually correct, mkuu!!
 
Hii ni Uzushi mtupu.
Nitakubali mpaka nitakapohakikishiwa kua hiyo namba ya simu iliyoandika ilikua siyo yake ama jamaa yake.
Kwani mtu unashindwa kununua kadi ya simu ukajitumia sms harafu kadi ukaitupa.WAZEE wanaomba FACT kwa habari zingine naomba nami FACT.KWENYE siasa za TZ kila mmoja anafanya kila awezalo ili aonekane HELLO.

Mtu itafikia ukipanda ndege pale KIPAWA ukaona MTZ naye kapanda, LONDON ukaelekea SCOTTLAND naye kaelekea unatafuta njia za kurudi mapema sana maana MAENEO hayo uko lisenced wewe tu kuelekea huko.

Hii hua inawatokea WASICHANA sana wanaojiona WAZURI mkipanda BUS ukamwangalia harafu bahati nzuri anakoelekea na wewe ndio unaelekea yani akabadirisha bus la kwanza nawewe ukaingia akabadirisha la pili na na la tatu wewe umo .UNAONA msichana anaanza kubadirika KUMBE masikini wa MUNGU wala huna mpango naye.
 
Kwani mtu unashindwa kununua kadi ya simu ukajitumia sms harafu kadi ukaitupa.WAZEE wanaomba FACT kwa habari zingine namba nami FACT.KWENYE siasa za TZ kila mmoja anafanya kila awezalo ili aonekane HELLO.

Mtu itafikia ukipanda ndege pale KIPAWA ukaona MTZ naye kapanda, LONDON ukaelekea SCOTTLAND naye kaelekea unatafuta njia zikurudi mapema sana maana MAENEO hayo uko lisenced wewe tu maeneo hayo.

Hii hua inawatokea WASICHANA sana wanaojiona WAZURI mkipanda BUS ukamwangalia harafu bahati nzuri anakoelekea na wewe ndio unaelekea yani akabadirisha bus la kwanza nawewe ukaingia akabadirisha la pili na na la tatu wewe umo .UNAONA msichana anaanza kubadirika KUMBE masikini wa MUNGU wala huna mpango naye.

What is this Mkamap? You're joking, right?
 
Kama CCM imefikia wakati wa kutaka kijana wa miaka 32 afe kwa sababu ya siasa je chama hiko kiko katika hali gani??
 
Hii ni Uzushi mtupu.
Nitakubali mpaka nitakapohakikishiwa kua hiyo namba ya simu iliyoandika ilikua siyo yake ama jamaa yake.
Kwani mtu unashindwa kununua kadi ya simu ukajitumia sms harafu kadi ukaitupa.WAZEE wanaomba FACT kwa habari zingine naomba nami FACT.KWENYE siasa za TZ kila mmoja anafanya kila awezalo ili aonekane HELLO.

Mtu itafikia ukipanda ndege pale KIPAWA ukaona MTZ naye kapanda, LONDON ukaelekea SCOTTLAND naye kaelekea unatafuta njia za kurudi mapema sana maana MAENEO hayo uko lisenced wewe tu kuelekea huko.

Hii hua inawatokea WASICHANA sana wanaojiona WAZURI mkipanda BUS ukamwangalia harafu bahati nzuri anakoelekea na wewe ndio unaelekea yani akabadirisha bus la kwanza nawewe ukaingia akabadirisha la pili na na la tatu wewe umo .UNAONA msichana anaanza kubadirika KUMBE masikini wa MUNGU wala huna mpango naye.

Kwani ina maana aliyeandika message ya kifo cha Zitto ni huyo huyo aliyeandika message ya kifo cha Wangwe? Kwasababu umesound kama vile hii si kweli na hata wewe kudiriki kusema kuwa ni rafiki yake Zitto ndiye aliyemtext kuwa amekufa...Je nini source ya message hiyo?

Maana taarifa zilitoka kwa ofisi ya katibu mkuu wa ccm...At the same time...Inasemekana taarifa za kifo kijana alizitowa kwa kupitia simu (sikumbuki kama ilikuwa simu ya marehemu ama ya kwake) kwa watu flani flani...Je dereva asiyekuwa na leseni anaweza kuwapigia watu wote hao bila kuwa na maagizo kutoka kwa watu flani flani?
Hapa kweli hii shughuli kubwa...Ila leteni data tuchambuwe.
 
Cha muhimu hapa ni kutafuta connection ya hatari ya maisha ya Zitto...Pamoja na tarifa walizopewa..Walichukuwa hatua gani kuhakikisha ulinzi wa wabunge wengine kama Wangwe?
Je speaker alikuwa na taarifa hizi?
Viongozi gani wengine walijuwa kuwa kuna hatari?
IGP alichukuwa hatua gani?
 
Unajua nini mimi siamini ni watu kwa niaba ya serikali au CCM; naamini kuna mtandao wa uhalifu (organized crime group) ambao hawatasita kufanya kweli kwa mtu YEYOTE awe CCM, upinzani, kanisa, serikalini, mtaani n.k as long as kwamba wanamuona mtu huyo ni tishio kwao na maslahi yao.

Unataka kusema kuwa hili genge ndilo linalomtisha hata JK kuwapeleka mafisadi mahakamani?......, Where's our intelligency?.. au ni part of the Crime group?. Maana hii inakuwa kama sinema za kina James Bond za kipelelezi, kunakuwa na watu kwenye system wana-wapa taarira majasusi. Kama ni hivyo system yote ufumuliwe.
 
Tatizo ni kwamba ile dhana ya Serikali kuogopwa na wahalifu imeanza kutoweka. Makundi yaliyo chini ya mafisadi yamejijenga ndani na nje ya Serikali. Na kitendo cha wahalifu wa ufisadi wa Richmond na EPA kutochukuliwa hatua kali, kimezidisha imani kwa mafisadi kwamba 'wametamalaki' na hakuna anaye waweze. Hapa solution ni kuifumua Serikali through vote ballots na kumpata Rais asiye mwoga.
 
Hata hapo Dar watu wamepagawa kwasana tu tena ukichangia na lile juwa na bangi za kuvutia juani hizo watu wamepigika na wamekata tamaa na maisha kabisa...Niliendesha gari maeneo ya magomeni na kariakoo na watu hawaogopi tena gari yani wamepagawa haswa haswa wasukuma mikokoteni!
Sasa kweli Taifa lenye utajiri wote huu bado kuna "Wasukuma Mikokoteni?!"

Na hata wale walioko mtaani wanazurura tu..Hawana kazi..Wabangaizaji...Na wengi wao ni waumini wa ule usemi wa Dar ni bongo kwa maana hufanyi kazi kwa bidii bali ni kuishi kwa utapeli utapeli tu!
Ni mentality mbovu!
Hata hivyo kazi zenyewe nazo zinatolewa kwa kujuwana nk.
Kama kweli Dar ingekuwa bongo na wasomi wa Tanzania walioko hapo wanatumia mbongo zao.. basi....Twin towers na umafioso wote dhidi ya wananchi usingekuwepo.... kipindu pindu kisingekuwepo tena..Kwani kipindu pindu ni tatizo la uchafu ulio pindukia na wenye kuleta kipindu pindu!
 
Kwani ina maana aliyeandika message ya kifo cha Zitto ni huyo huyo aliyeandika message ya kifo cha Wangwe? Kwasababu umesound kama vile hii si kweli na hata wewe kudiriki kusema kuwa ni rafiki yake Zitto ndiye aliyemtext kuwa amekufa...Je nini source ya message hiyo?

Maana taarifa zilitoka kwa ofisi ya katibu mkuu wa ccm...At the same time...Inasemekana taarifa za kifo kijana alizitowa kwa kupitia simu (sikumbuki kama ilikuwa simu ya marehemu ama ya kwake) kwa watu flani flani...Je dereva asiyekuwa na leseni anaweza kuwapigia watu wote hao bila kuwa na maagizo kutoka kwa watu flani flani?
Hapa kweli hii shughuli kubwa...Ila leteni data tuchambuwe.

mtu unaweza jiandikia mwenyewe sms za kujitisha ili uonekane ni VIP ama ukiwa na lengo lakujitafutia walinzi kutoka serikalini na uonekane ni MAARUFU sana.

Ama unaweza chukua BASTOLA yako ukaelekea sehemu ambapo unaona hakuna shuhuda unalifyatua gari lako kwa BASTOLA yako na ku CLAIM jamaa wanakuwinda na wamekukosakosa na ili ujipatie umaarufu ama ujipatie WALINZI wa uhakika.

Haya yote ktk hili ishu ni UZUSHI kama UZUSHI wa kijiweni ,Naamini mtu akitaka kukufanyia hawezi kukupa taarifa inadvance.WULIZENI walioko ahela waliopatwa kufanyiwa kama kabla ya kufanyiwa walipewa taarifa inadvance.

Nina wasi wasi sana wenda wana siasa hawa wanapata habari hizi kwa kupigiwa lamuli ,yani kwa utabili wa vibuyu.
 
mtu unaweza jiandikia mwenyewe sms za kujitisha ili uonekane ni VIP ama ukiwa na lengo lakujitafutia walinzi kutoka serikalini na uonekane ni MAARUFU sana.

Ama unaweza chukua BASTOLA yako ukaelekea sehemu ambapo unaona hakuna shuhuda unalifyatua gari lako kwa BASTOLA yako na ku CLAIM jamaa wanakuwinda na wamekukosakosa na ili ujipatie umaarufu ama ujipatie WALINZI wa uhakika.

Haya yote ktk hili ishu ni UZUSHI kama UZUSHI wa kijiweni ,Naamini mtu akitaka kukufanyia hawezi kukupa taarifa inadvance.WULIZENI walioko ahela waliopatwa kufanyiwa kama kabla ya kufanyiwa walipewa taarifa inadvance.

Hilo la source ya information ama muanzishaji wa rumours za vifo ni muhimu sana.
 
Ni kweli kabisa na hilo la source za sms pia ni mhimu sana hii thread mimi nadhani itakua valid kama wakiweka vithibitisho hiyo sms ilitoka kwa na nnani?

Ama vithibitisho vinaombwa tu kama chadema imeshutumiwa?? Lakini shutuma zinazoelekezwa kwingine tofauti na chadema RUMOURS inatosha kabisa kuhukumu mtu.Ndivyo au sivyo?
 
mkamap, polisi wanao ushahidi kama ni simu ya Zitto wangeweza kuthibitisha kiurahisi tu! au hawana hata uwezo huo?
 
Oh, please! Give me a break! Hivi wewe Waberoya unajua nini maana ya neno "forum" kweli? Sio lazima kila kitu hapa kiwe factually correct, mkuu!!

Asante sana ndiyo ulikuwa unamjibu Kasheshe ati!!! mi simo , tehee tehee, teheeeee
 
mkamap, polisi wanao ushahidi kama ni simu ya Zitto wangeweza kuthibitisha kiurahisi tu! au hawana hata uwezo huo?

Hapana , hapana ,hapana

mtu unaweza nunua kadi ya simu ukajiandikia sms harafu ukaitupa kadi.Ama ukawa na simu kwa ajili ya kazi hiyo tu harafu ukimaliza unaizima ,kama ilivyo hapa jf watu walivyo na ID nyingi za kujisapoti.

Na huu upuuzi wanaweza kuupunguza kama kila mwanachi akiwa na ID harafu ukinunua kadi ya simu lazima uonyesha ID yako na hapohapo muuzaji wa kadi ya simu anachukua data zako na namba ya kadi na kuzituma info hizo ktk kampuni ya simu husika.
 
umefikiria vyema; sasa Zitto atakuthibitishiaje kuwa siyo simu yake imetumika?
 
Back
Top Bottom