Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,014
- 95,368
Mama Big!...dah......Mwekahazina tupe mwongozo hapa nimwambia amwone katibu St Roya for the nidiful?
Mdogo mdogo chairman. Nachukua ada kwanza:smile-big::smile-big::smile-big:
Mama Big!...dah......Mwekahazina tupe mwongozo hapa nimwambia amwone katibu St Roya for the nidiful?
Mdogo mdogo chairman. Nachukua ada kwanza:smile-big::smile-big::smile-big:
Jameni kuna mtu yoyote amesikia matkeo ya chama changu cha dovutwa updp akisikia tafadhali naomba anijulishe
Ada utachukua baadae...baada ya taratibu zote za kichama kukamilishwa......(sasa cheaman unasemaje, ni vizuri mweka hazina akaja mwishoni... :smile: )
Ndo manake hommie.....mdogo mdogo
Hommie nimeona umeishaanza kuhamisha meza taratibu upande ule wa kule
ISC foreva dumu.Ewaaaaaaaaaa>.....
Unajua hommie, Halima alikuwa na sifa mbili kuu zilizonifanya nimchague
1. Ni mwanachama hai wa vyama vyetu CHADEMA na ISC
2. Nadhani mmeshaona japo picha yake....need I say more?
Ole wake atakayemchakachua Halima wangu..........
Hujahamishwa meza mkuu, raundi yako haijaletwa..!
ISC foreva dumu.
Thanx kwa invitation sir
Habari zenyu hommies! Hapa mnadiscuss nn?
Hahaha chuda raha! Muulize Fide! Alafu we hommie lini waja?hahahaha hommie bado upo Chuda?