Wiki ijayo natia timu Dar. Je nitoke na nani?

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Wana Chit chart, wiki ijayo Ijumaa natia timu Dar, na nitakaa kwa siku tatu pale viunga vya Msasani, Kidume yeyote yule ambaye angependa atoke na mimi kwa dinner afanye booking mapema (Lakini asiwe ni mume wa mtu, sipendi ngeu mie).

Muhimu ni mshiko maana sina kitu kabisaa na viwanja nitakavyopenda kutoka kusafisha macho ni Kilimanjaro Hyatt Hotel, Double Tree Hotel, Sea Cliff Hotel na Kunduchi Beach Hotel, gharama zitafidiwa kwa makubaliano maalum.

Wadada tukutane J2, pale viunga vya Mango Garden Kinondoni.

Sitaki PM, mwageni sera zenu hadharani.
 
Usihofu lazima uonje ma-opportunity niliyojaliwa na Mungu,lakini usinigande ukashindwa kurudi!

Weweee, unachezea mikogo ya pwani weye, angalia usije ukahamia ZNZ, mie nayajua si mchezo, kama umezoea magume gume nakuomba uchezee mbali huu ni mziki mwingine, ujipange sawasawa
 
Wana Chit chart, wiki ijayo Ijumaa natia timu Dar, na nitakaa kwa siku tatu pale viunga vya Msasani, Kidume yeyote yule ambaye angependa atoke na mimi kwa dinner afanye booking mapema (Lakini asiwe ni mume wa mtu, sipendi ngeu mie).

Muhimu ni mshiko maana sina kitu kabisaa na viwanja nitakavyopenda kutoka kusafisha macho ni Kilimanjaro Hyatt Hotel, Double Tree Hotel, Sea Cliff Hotel na Kunduchi Beach Hotel, gharama zitafidiwa kwa makubaliano maalum.

Wadada tukutane J2, pale viunga vya Mango Garden Kinondoni.

Sitaki PM, mwageni sera zenu hadharani.

Karibu sana mi nakulipia Serena hotel siku 3 na milo yote lakini nafukua maji taka mende wanako pendelea kukaa
 
Weweee, unachezea mikogo ya pwani weye, angalia usije ukahamia ZNZ, mie nayajua si mchezo, kama umezoea magume gume nakuomba uchezee mbali huu ni mziki mwingine, ujipange sawasawa

.....mmmmm?...maneno huwa hayanichoshi nasubili videndo,,,,UTAWEZA?..Lakini je TUKO WANGAPI?
 
Wanaume wa chirt chat walivyo wabahili katu hutowaona hapa, watapitia kando, jamani mie sinywi vikali, sana sana nitakunywa milk shake, na msosi utakuwa wa kawaida sana Lobuster na mash potato, kisha napata diseti ya Tiramisu, na mwisho nasumumizia na chocolate
 
Halafu nasikia mwanza ulifichwa na mwana JF mwenye uke! Ulisalimika kweli?

Heheheeeee sasa ulitaka nifichwe na mwenye uume kama mimi? Zinduna aje aisee we mbona unatafuta mwenye uume na si tofauti?
Mwanza raha aisee
 
We wakuja usisahau kubeba kiroba cha mkaa, mkaa umepanda bei Dar

Sie tumezoea kutumia jiko la gesi, usiwe mshamba na wewe, nyiewa bara ndo msiyoyajua hayo, TV zenyewe mmezijua majuzi baada ya kuingia rais wa awamu ya pili, lakiniie tangu miaka ya 60 tuna TV coloured
 
Wanaume wa chirt chat walivyo wabahili katu hutowaona hapa, watapitia kando, jamani mie sinywi vikali, sana sana nitakunywa milk shake, na msosi utakuwa wa kawaida sana Lobuster na mash potato, kisha napata diseti ya Tiramisu, na mwisho nasumumizia na chocolate

Mi pedeshee wa madini unanigwaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom