Wiki ijayo natia timu Dar. Je nitoke na nani?

Ninao udi wa yasmini, lavender, eucalyptus, rosemary, geranium, wataka upi weye binti wa makamo?
hapa udi rosemary mwali nasikia huu ukiufusha mwez mzima unanukia hata uogee nini lol! ina huu mwanamke kunuka pombo? mtaiskia kwa jiran lolest!
 
hehehehheh! waukweeeeh...........huyooooo anaingia ndani ya jiji lolest!
Zinduna mwaya karibu, tulikumisijeeeeeeeeeeee sasa? ila bibie mie nletee udi tena ule wa oman wenye kufushwa ukeni manake nimeopoa mwenye ume mmoja humu jf nataka nimzime milele. usisahau na wanja wa kungu bibi na hinna za makka lol!

yote tisa masala ya chai, pilau, na birian usiasahau jaman pamoja na binzari ya kusafishia uso mwali lol!


Hivi dada wayajua mafusho ya kingazija weye, ukijifukiza ukeni halafu ukaingia ngomani, huyo mwanaume hatokuacha milele, kama ana mke atahamia kwako, na kama ana akauti atakupa password
 
hapa udi rosemary mwali nasikia huu ukiufusha mwez mzima unanukia hata uogee nini lol! ina huu mwanamke kunuka pombo? mtaiskia kwa jiran lolest!

na nikifika nitawafunda namna ya kujifusha huko kunako uke, mwanamke shurti kunukia bibi wewe
 
Wanaume wote kimyaaa, jamani sina bajeti kubwa mbona mwanikimbia hivooo
 
Wana Chit chart, wiki ijayo Ijumaa natia timu Dar, na nitakaa kwa siku tatu pale viunga vya Msasani, Kidume yeyote yule ambaye angependa atoke na mimi kwa dinner afanye booking mapema (Lakini asiwe ni mume wa mtu, sipendi ngeu mie).

Muhimu ni mshiko maana sina kitu kabisaa na viwanja nitakavyopenda kutoka kusafisha macho ni Kilimanjaro Hyatt Hotel, Double Tree Hotel, Sea Cliff Hotel na Kunduchi Beach Hotel, gharama zitafidiwa kwa makubaliano maalum.

Wadada tukutane J2, pale viunga vya Mango Garden Kinondoni.

Sitaki PM, mwageni sera zenu hadharani.
wewe ni chat si chart
 
Kwa sababu we ni pacha wa mke wangu ngoja nichukue...............................:.....................................

Wanaume wa chirt chat walivyo wabahili katu hutowaona hapa, watapitia kando, jamani mie sinywi vikali, sana sana nitakunywa milk shake, na msosi utakuwa wa kawaida sana Lobuster na mash potato, kisha napata diseti ya Tiramisu, na mwisho nasumumizia na chocolate
 
Hahahahahahahahaha
acha ukweli usemwe!

Sie tumezoea kutumia jiko la gesi, usiwe mshamba na wewe, nyiewa bara ndo msiyoyajua hayo, TV zenyewe mmezijua majuzi baada ya kuingia rais wa awamu ya pili, lakiniie tangu miaka ya 60 tuna TV coloured
 
Nishamuona mchawi humu, aitwa Filipo mbona unachungulia tu, sema kama wataka ki date

Mi nna hela za Tanzanite. Naona huwezi kuzitumia. Bado mchanga sana. Njoo Arusha nikuonjeshe dunia! Lol
 
Last edited by a moderator:
Tulishapiga vita umalaya watu wakasikia na kuacha, sasa weye Zinduna ndio unazindua tena.... Hili tangazo la biashara Umeshalilipia pamoja na VAT lakini???
Na wadadaz wawatakiani?
BTW try your lucky.
 
Last edited by a moderator:
mwali Zinduna umenenna, huwa natamani kulionja kungu la zenji, maana la comoro ni kiboko, unalegea macho yote, ya juu na ya chini! acha kabisa, liletreeeeeee, nalingojaje??
 
Last edited by a moderator:
mwali Zinduna umenenna, huwa natamani kulionja kungu la zenji, maana la comoro ni kiboko, unalegea macho yote, ya juu na ya chini! acha kabisa, liletreeeeeee, nalingojaje??

Jicho la chini likilegea si linatoa machozi ya kumwaga?
 
Last edited by a moderator:
Dogo langu 52, changamkia ujio huo! Nakuaminia vihoteli alivyo vimention wala havina gharama, haizidi hata laki 3 hiyo zabuni.
Heheheheeee kaka Judgement nishaongea nae coz namimi niko najiandaa kwenda Dar kwa mapumziko ya wiki moja so nimefurahi kupata wa kunipa mautamu wakati wa mapumziko....natua jijini jumapili mapemaaaaa then naenda zangu chimbo kuandaa mazingira ya kumpokea Zinduna
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom