Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

We subiria tu ipo siku atakuonyesha mchepuko wake nawe uusifie, Mungu anakupa wa kufanana na wewe.
 
indelible

Hata kwenye 'performance' anamzidi mkeo? Maanake performance ya mkeo umetuambia, ya huo mchepuko hujasema.
 
Last edited by a moderator:
Kwa asili mwanamke huwa hasamehi hadi na yeye afanye kama ulivyofanya....lakini pia yapasa uwaze nje ya box,je ni kwel alimsifia huyo mwanamke kuwa ni mrembo kwel,au ni ile habar ya wakat wanasoma huyo mke wako alikuwa na mienendo mibaya au alipata scandal mbaya kwa hiyo akaona kama wakiendelea kukaa pamoja huyo mchepuko wako angemkumbuka huyo mkeo na pengine siri ingefichuka??!fikiria nje ya box,usiuamini hata kidgo msamaha wa mkeo

Jamaa anajiona mshindi kwa mkewe kumsamehe kishkaji.! Jamaa afikirie nje ya sanduku alilomo ajiulize maswali magumu sio kuchekelea kusamehewa kifarafara namna ile.(kama stori inamuhusu kweli akijua ukweli wa mkewe atajiona binge la bwegenazi kuwahi kutokea).
 
Amekupa kichapo zaidi ya kile ulitegemea. Utaishi kwa hofu sana maana hujui analowaza kichwani
 
Back
Top Bottom