Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

indelible

JF-Expert Member
May 2, 2015
652
299
Salaam,

Juzi usiku sikulala ni kama nilikesha nambembeleza wife anisamehe kutoka na kusoma sms za malove toka kwa mpango wangu wa kando. Alillia ghafla akanyamaza akaniuliza nakoswa nini kwake, nikamjibu hakuna akauliza tena huo mchepuko una kipi kumzidi mpaka nimsaliti, asije akawa analia kumbe mchepuko wenyewe sura ya kazi ngumu nikamjibu ni wa kawaida tu, ila moyoni najua ni mkali kumzidi.

Akaniambia nikitaka suluhu basi auone na niuambie mbele yake kwamba its over btn us. Nilibisha bisha at last coz i love my wife nikaona isiwe tabu let me rescure our marriage. Jana asubuhi nikaupigia simu chini ya usimazi wa wife on loud speaker nikaumba tuonane Samaki Samaki ya Zanaki jioni mida ya kumi na mbili. Mida ya 11:30 jioni, i and wife tulikuwa pale niliagiza supu lakini sikuwa na hamu nayo, nilikuwa nawaza reaction za wife mtanange utakapoanza.

Ndani ya fikira hizo mara mlengwa huyo akaingia wife ndio alikuwa wa kwanza kumuona akaniuliza ndie? Nikamjibu kwa kichwa tu huku mapigo yangu ya moyo yakiwa 200 kwa dakika, mate mdomoni yalinikauka. Mrembo alikuja straight kwangu akiwa na smile la haja, mie hata sikutaka kumwangalia usoni. Kifupi ni mzuri na figure yake siyakitoto type Irine Uwoya. Nikajua nimekwisha. Cha kushangaza wife akainuka akaniambia nimsalie mchepuko then nimfuate pale kwenye lift. Nikabaki nashangaa kweli nikaupa hi na hug bubu nilimwomba akae nakuja, then nikamfuata wife.

Kufika nakuta anasmile, akaniambia we mshenzi unajua kuopoa, ulimpata wapi huyu? Kabla sijamjibu akaniambia alimwacha chuo na enzi hizo alikua within top five hotiest girl in the college.Kwa kunishanga zaidi akanimbia unabahati nimemkubali, panda lift tuondoke akachukua simu yangu akampigia mchepuko akamwambia asinitafute tena. Usiku wa kuamkia leo nilikua honey moon nimepewa malove firstgrade.

Kumbe mchepuko akiwa mkali kesi inapata natural death? Au timbiwili bado?

Nawakilisha
 
Mmmmmhhhhhhh...! Wat about ukifanyiwa hivo alafu ukute mshkaji yupo above status yako..! Utamwambia the same thing..! Wanawake ni watu wa ajabu cha muhimu achana kabisa na shortkats koz at last mkilumbana kidogo utasikia eeeehh si kisa unamichepuko yaani hiyo ndo utakuwa topic kwake..! Mkuu kuwa na umakini umfanye awaze it was badluck tuu kutoka na huo mchepuko
 
Mmmmmhhhhhhh...! Wat about ukifanyiwa hivo alafu ukute mshkaji yupo above status yako..! Utamwambia the same thing..! Wanawake ni watu wa ajabu cha muhimu achana kabisa na shortkats koz at last mkilumbana kidogo utasikia eeeehh si kisa unamichepuko yaani hiyo ndo utakuwa topic kwake..! Mkuu kuwa na umakini umfanye awaze it was badluck tuu kutoka na huo mchepuko

umenena mkuu i will keep on convsng that!
 
Nilichoona hapa umetuhalalishia michepuko ila tuwachague michepuko classic kuliko wake zetu

haya ahsante

No sijamaanisha hivyo mkuu, my issue happen by accidently na ndo maana nimeshangazwa na hiyo hali ya shemejio.
 
Yaani mim ukichepuka na mnuka shombo utanitambua unachepuka chukua mzigo wa maana sio kuaibishana.
kwa sababu hata mim nkichepuka ntachukua handsome mfukoni na usoni kooo
 
salaam

Juzi usiku sikulala ni kama nilikesha nambembeleza wife anisamehe kutoka na kusoma sms za malove toka kwa mpango wangu wa kando.

Alillia ghafla akanyamaza akaniuliza nakoswa nini kwake, nikamjibu hakuna akauliza tena huo mchepuko una kipi kumzidi mpaka nimsaliti, asije akawa analia kumbe mchepuko wenyewe sura ya kazi ngumu nikamjibu ni wa kawaida tu, ila moyoni najua ni mkali kumzidi.

Akaniambia nikitaka suluhu basi auone na niuambie mbele yake kwamba its over btn us. Nilibisha bisha at last coz i love my wife nikaona isiwe tabu let me rescure our marriage.

Jana asubuhi nikaupigia simu chini ya usimazi wa wife on loud speaker nikaumba tuonane Samaki Samaki ya Zanaki jioni mida ya kumi na mbili. Mida ya 11:30 i and wife tulikuwa pale niliagiza supu lakini sikuwa na hamu nayo, nilikuwa nawaza reaction za wife mtanange utakapo anza.

Ndani ya fikira hizo...mara mlengwa huyo kaingia wife ndo alikuwa wa kwanza kumuona akaniuliza ndie? Nikamjibu kwa kichwa tu huku mapigo yangu ya moyo yakiwa 200 kwa dakika, mate mdomoni yalinikauka. Mrembo alikuja straight kwangu akiwa smile la haja, mie hata sikutaka kumwangalia usoni. Kifupi ni mzuri na figure yake siyakitoto design Irine Uwoya. Nakajua nimekwisha.

Cha kushangaza wife akainuka akaniambia nimsalie mchepuko then nimfuate pale kwenye lift. Nikabaki nashangaa kweli nikaupa hi na hug bubu nimwomba akae nakuja, then nikamfuata wife.

Kufika nakuta anasmile, akaniambia we mshenzi unajua kuopoa, ulimpata wapi huyu? Kabla sijamjibu akaniambia alimwacha chuo na enzi hizo alikua within top five hotiest girl in the college.
Kwa kunishanga zaidi akanimbia unabahati nimemkubali, panda lift tuondoke akachukua simu yangu akampigia mchepuko akamwambia asinitafute tena.

Usiku wa kuamkia leo nilikua honey moon nimepewa malove firstgrade.

Kumbe mchepuko akiwa mkali kesi inapata natural death!? Au timbili bado?
Nawakilisha

Mods msiruhusu uongo wa namna hii tena.
 
Back
Top Bottom