Why UDOM is being isolated?

Status
Not open for further replies.

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,029
256
Jamani kuna habari kuwa kuna baadhi waajiri siku hizi wameweka msimamo kuwa eti wakati wanatangaza ajira,wanawatenga wasomi wetu wa chuo tukipendacho cha Dodoma!kama habari hii ni kweli,mnataka vijana wetu waende wapi?
 
Na kama ni hivyo, je ni kweli ajira za udom zinawatenga wote wenye elimu inayotambuliwa na nacte!?
 
Jamani kuna habari kuwa kuna baadhi waajiri siku hizi wameweka msimamo kuwa eti wakati wanatangaza ajira,wanawatenga wasomi wetu wa chuo tukipendacho cha Dodoma!kama habari hii ni kweli,mnataka vijana wetu waende wapi?

Ukitoa habari kubwa na nyeti kama hii bila kutoa ushahidi yanaitwa MAJUNGU
 
Labda kuna ukweli wajamen,mfano me kuna ndugu yangu anapga pale udom bachelor of commerce,aliniomba nimpelekee barua yake ya maombi ya fild kwenye shirika flani la umma,nkapata bahati ya kumit na manager,thn akanichana live kwamba wenyewe wanachukua madent toka udsm na sua 2..bt ni mtazamo wa wa2 2 as hamna tofaut yoyote kati ya m2 from ud,sua,na udom..
 
kaka eleza vizuri mi mwenyewe nataka niende Udom ila kama kuna mambo ya ajabu basi tutafanya kugairi
 
Kweli hii ishu nmeshaishudia kwa macho kuna job vacancy zlitangazwa kwnye gazet with exception of Udom graduates
 
Kiukweli lisemwalo lipo japo halina ushahidi. Na hapa ndo tutajua hata waliowafundisha ni ................??? Cha msingi wanaosoma hz habari ni wengi
na watambue hapa kuna wanaochukulia ()na wengine +Ni aibu kwa chuo kama UDOM kupigwa majungu.
 
Kweli hii ishu nmeshaishudia kwa macho kuna job vacancy zlitangazwa kwnye gazet with exception of Udom graduates
wapi na gazeti gani?na walitoa sababu gani?sidhani kama kuna mtu anaweza kutangaza kazi akaweka exceptiona l ya udom..tatizo ni nini?ubora wa elimu au?kutambulika kwa chuo kimataifa?sababu za kisiasa?tunataka tufafanuliwa ili tujue sababu ni ipi tuweze kuchambua kwa weledi...
 
Kweli hii ishu nmeshaishudia kwa macho kuna job vacancy zlitangazwa kwnye gazet with exception of Udom graduates
gazeti gani huo ni unafiki coz wanaosoma pale ni jamaa zetu sasa mkianza kuongea majungu kwa mambo ambayo hayapo ni kuaribiana future. Mi nahisi watu naofia Udom kuwafunika ndo maana wanaleta scandal za uzushi. Achen hizooo.
 
Huu ni unafiki wa wazi na ni majungu mana kwa anaesoma Udom kwa sasa jaribu kumuuliza uone ugumu wa shule ya sasa ikoje au wamekosa ya kusema?
 
gazeti gani huo ni unafiki coz wanaosoma pale ni jamaa zetu sasa mkianza kuongea majungu kwa mambo ambayo hayapo ni kuaribiana future. Mi nahisi watu naofia Udom kuwafunika ndo maana wanaleta scandal za uzushi. Achen hizooo.

Ndugu unaposema kuwa watu wanaoogopa UDOM watawafunika hapo ndo unapokosea..kama suala ni kufunikana,itachukua zaidi ya miaka 200 kwa UDOM kuvifunika baadhi ya chuo hapa nchini..kumbuka kuwa chuo siyo majengo..ni msingi wa kitaaluma uliopangwa kwa muda mrefu..haiwezekani chuo rais anatoa ahadi mwaka huu then mwakani kinaanza kuchukua wanafunzi,,mipango ilipangwa lini?
 
Hili hata na mimi nimelisikia. Kama ni kweli. Nafikiri waajiri hawatendi haki. Kama ni suala la ubora wa elimu? Nafikiri ni la mwanafunzi zaidi ...kwa level ya chuo kikuu...kama mtu atapenda kueleimika ataelimika tu (hasa masomo ya social sciences)...na kama akipenda kutoka kapa hatoambulia kitu katika chuo chochote kile..udsm...sua..kwani huko nako si wote waliofaulu walisoma na kufanya kazi za shule na mitihani wao wenyewe..nawajua wengi tu walibebwa katika assignments na mitihani. wanaosoma OPEN inakuwaje? kwa dent wa chuo kikuu ukishapata course outline,,,nafikiri inatosha...unazama maktaba (pia online)......utaelimika tu. Tusihukumu mtu kwa kuangalia chuo anachotoka...bali tumfanyie usaili kwanza..hili litatuwezesha kugundua uwezo wa mtu...
 
Kwa uelewa wangu juu ya mambo ya elimu,kinachofanya product ya chuo fulani ikubalike sokoni ukiacha mambo ya propaganda ni Waalimu walio na sifa stahili (lecturers),Vifaa vya kujifunzia vinavyokidhi mahitaji na ubora,condusive learning env. na kubwa zaidi muda wa kutosha wa mazoezi kwa vitendo (field attachment,Internship etc).Swali la msingi UDOM inakidhi vyote???? manake tusidhani kua kuwa na majengo mazuri mabweni yenye viyoyozi na maprofesa wengi ndio vyaweza kufanya Institution flani kua reputable na wahitimu wake...kama ndo mtazamo wetu huo basi tunahitaji mtaalamu wa kutufundisha namna ya kufikiri......manake hata ukasoma degree kwa 6 yrs bila practice you are full of academics but no practical skills!!!!!!!!!!!!
nawasilisha.
 
World Vision walitangaza kazi na wakasema execept UDOM ni uweli kabisa na hoja kubwa ni quality ya graduates wa UDOM ambao hata field hawakuwahi kwenda na zaidi kufundishwa na walimu ambao ni undergraduates na wasio na sifa, kimsingi UDOM ni bila bila bomu linalokuja kulipuka soon
 
Mie nimegraduate pale! ishu hii haipo bana, majungu kila kukicha UDOM!! àcheni izo bàna, angalieni maisha yenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom