Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Umesema hukusoma vizuri content ya hoja iliyoletwa mezani na funny enough umerudi na jibu hilo hilo! unachekesha kweli!Labda sikusoma vizuri title ya thread!
Anyway, TTCL ina watu,culture na structure ambayo inatokea kwenye monopoly (or let's call it a dominant position in the market)...hivyo hawawezi hawawezi ushindana katika soko la simu lilivyo sasa(hata kama kusingekuwa na 'mkono wa mtu' kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini)! Ni lazima kufanyike revolution. Ni kama leo hii ukitokea ushindani kwenye nishati ya umeme, kwa watu,culture na structure ya Tanesco hawataweza kushindana.