Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
Naomba kuuliza swali hili. Nina tatizo fulani najisikia vibaya pale tu ninapoona Tz kuna vyuo vikuu vingi, vingine vimeanzishwa na selikali, lakini vingine vimeanzishwa na watu private hasahasa mashirika ya dini. UNAJISIKIAJE UTAKAPOTEMBELEA SEHEMU MOJAWAPO HAPA TZ UKAKUTANA NA CHUO KIMEANDIKWA...CHRISTIAN UNIVERSITY OF TANZANIA/DAR/IRINGA au MUSLIM UNIVERSITY OF TANZANIA/MORO ETC.
unapata picha gani kusikia kitu kama icho kwenye nchi inayoamini kuunganisha wananchi wenye dini mbalimbali. Je, mimi ambaye ni mkristo nitasoma katika chuo kile cha muslim university of moro? pia yule ambaye ni Muislam atasoma chuo kile cha christian university of dar?(ambacho hakipo actually).
Kwanini walioanzisha chuo cha morogoro wasitumie jina lolote ambalo sio la direct kiasi hicho, kwani pale wanafundisha elimu ya kiislam tu? pale wanasoma wakristo wangapi? na wanafundisha hasa nini?...mbona vyuo walivyoanzisha watu wa dini ingine hawajaweka christian university bali wamechagua jina tu litakalo accomodate watu wote wakajisikia comfortable kwenda pale, majina kam Tumaini university, ruaha university etc?...how do you feel ukiona kwenye nchi yako inayopinga udini, kuna chuo kinaitwa christian university of morogoro, au muslim university of morogoro?...utakuwa comfortable kwenda pale, utajisikia unakaribishwa kenda pale kusoma? au utakuwa wamekubagua wewe ambaye si wa dini ile? kwanini tunaachilia kitu kama hicho kuwepo nchini kwetu? kwanini hawa watu wanaoanzisha vyuo wasiweke majina ambayo ni neutral?