Why is sex so powerful?

Mynd177

JF-Expert Member
Dec 3, 2022
2,003
3,437
Wakuu natumai hamjambo?

Twende kwenye mada.

Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza kwann sex iko so powerful. Everythng seems to revolve around sex, music praises sex, movies, books, hata mada nyng hapa na kwenye forums nyngne sex imetamalaki.

Mpaka inaonekana kuwa sex ndo sole purpose ya mwanadamu. Usipokuwa mtu wa sex watu watakushangaa..

Je ni kwa nini sex iko powerful namna hii?
 
Muulize Samson
 
Hii kitu hii
IMG-20230709-WA0038.jpg
 
Wakuu natumai hamjambo?

Twende kwenye mada.

Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza kwann sex iko so powerful. Everythng seems to revolve around sex, music praises sex, movies, books, hata mada nyng hapa na kwenye forums nyngne sex imetamalaki.

Mpaka inaonekana kuwa sex ndo sole purpose ya mwanadamu. Usipokuwa mtu wa sex watu watakushangaa..

Je ni kwa nini sex iko powerful namna hii?
Kabla ya kujua Kiingereza, ungeiandika aje hii mada kwa Kiswahili?
 
Sex ndio mwanzo wa Binadamu, ni tendo la kiroho zaidi.

Ndio maana nikiwa namsex mtoto wa mtu huwa nahakikisha ibada hiyo inakwenda vzr
 
Back
Top Bottom