Why do Girls hate dating short guys.....

I believe you have also noticed that girls hate dating short guys. Why do you think it is like this?

Aren't they also men like others?
You should not think narrow like that BUT ALSO you should expand your mental ability of thinking at least to this extent that "why do men/boys hate dating with women/girls taller than them?" if you get the answer for this qn then obvious vice-versa will be true.
 
Kwa sababu ya tabia zao, wengi huwa wakorofi..

Ni kweli kabisa Husninyo

Watu wafupi wengi sana ni wakorofi....

Huwa wana tabia za ajabu sana, wanajishuku kuwa wanaonekana wadogo, kwa hiyo watajifanya wakali

ili waheshimike...
 
kwa kifupi tunasema wana 'nginjanginja' sana ili waku-impress.

Mara huku mara kule, ila kote anakokukuruka hakamilishi zoezi ni nusu nusu tu.

Hata hivyo 'isostacy theory' ina-hold hata kwa binadamu, very few exceptions!

mie hao wafupi nawapenda sana kwasababu ni wazuri sana kunako sita kwa sita.tatzo wengi huwa hawajiamin lakin wanaume wafupi ndo wenyewe.hureeee wanaume wafupi kokote mliko,nyie ni noma..!
 
Watu wanapindisha ukweli tu...lakini ukitembea barabarani na kuona couple nyingi, you will find many of them includes taller men than women....ni kitu ambacho kipo obvious, hata sisi wanaume hatupendi kuwa na wanawake warefu kutuzidi..thats all.
 
Nadhani sababu kuu inayowafanya wasipende kuwadate wanaume wafupe ni kwa sababu wanawake wengi wahapendi kuwa na mahusiano na wanaume ambao wao wamewazidi urefu. Embu pata picha wametoka out wakiwa wamekumbatiana halafu kichwa cha jamaa kinaning'inia kwenye matiti ya demu. si aibu hiyo?

Also Ladies feel more secure(physically) akiwa na mtu mrefu otherwise anakua kama yuko na mtoto/mdogo wake. Wanapenda kujiachia kwenye mwili ulio mkubwa kwao thats all.

Umeona wapi bodyguard ni mfupi kuliko anaelindwa?? (just my thought)
 
Ni kweli kabisa Husninyo

Watu wafupi wengi sana ni wakorofi....

Huwa wana tabia za ajabu sana, wanajishuku kuwa wanaonekana wadogo, kwa hiyo watajifanya wakali

ili waheshimike...

Boflo wewe una urefu wa sentimeta ngapi??
 
Ni dream ya kila mwanamke ku date good looking man. Sasa jamaa akiwa short ndo pale unasikia mdada kakazana kusifia "jamaa ana ela kweli" akijaribu ku justify decision ya ku date mwanaume mfupi kuliko yeye au anayemzidi urefu.

Nadhani sababu kuu inayowafanya wasipende kuwadate wanaume wafupe ni kwa sababu wanawake wengi wahapendi kuwa na mahusiano na wanaume ambao wao wamewazidi urefu. Embu pata picha wametoka out wakiwa wamekumbatiana halafu kichwa cha jamaa kinaning'inia kwenye matiti ya demu. si aibu hiyo?
 
hapa hata wafupi watajidai warefu...na ivo hatuwajui...aisee boflo umenikumbusha kitu...maza angu hapendi hao watu wenye kimo cha Zakayo...doooh!...hatak kumuona sista angu hata akiongozana nao...sijui sababu!
 
I believe you have also noticed that girls hate dating short guys. Why do you think it is like this?

Aren't they also men like others?

My Bro, inayopendwa ni pesa. Hata ukiwa mbilikimu ilimradi muamala unasoma. Hakuna shida
 
Mimi ni mfupi kwa maana halisi ya mfupi. Natembea na mwanamke yeyote wa chaguo langu awe mrefu awe mfupi. kunako kwa fundi serimala wanaijua kazi yangu si ndogo. Kunako maulinzi hapa ni full magwajeruu, uwe mrefu kama ngongoti utapata mageli ya shingo, na usipoangalia utaondoka umehasiwa. Tatizo la BOFLO @ BWABWA (kabla hajabadili jina) anawatamani kulalwa na nyamaume ndefu (ilhali naye ni mwanaume) basi anafikiri kila mwanamke ana tabia zake.Naomba Kuwasilisha, Ndimi BAZAZI
 
let me tell u this guys, some say i am short but my only weapon is i am very handsome, na ninawakamata wengi tu..i date them as i wish, i choose them..most of them are taller than me, but they feel very happy and secured with me..i have never been dicriminated as shorter cause i do care for them alot, and most of all very handsome and i do them very well, so they feel proud being with me..na ninachukua hata mademu wa taller guys..so sioni ubaya wa kuwa short..rather being proud of being short..i look much younger than guys of the same age..handsome always..haha taller guys..they don't care much like short guys..we have real love..
 
tabu wanawake wengi hawajui wanatafuta nini kwa wanaume!thas problem wanafikiri maisha siku zote yatakuwa ya kuuza sura ndo mana wengi wanakuwa wa kuumizwa kila siku na wepenzi wao kazi mnayo
japo mimi ni mfupi na ninamwanamke mrefu sana tu sasa sijui yeye alikuwa mshamba!
 
let me tell u this guys, some say i am short but my only weapon is i am very handsome, na ninawakamata wengi tu..i date them as i wish, i choose them..most of them are taller than me, but they feel very happy and secured with me..i have never been dicriminated as shorter cause i do care for them alot, and most of all very handsome and i do them very well, so they feel proud being with me..na ninachukua hata mademu wa taller guys..so sioni ubaya wa kuwa short..rather being proud of being short..i look much younger than guys of the same age..handsome always..haha taller guys..they don't care much like short guys..we have real love..
interestingly,wanawake wengi warefu au wale wenye waume warefu wanachukuliwa sana na wanaume wafupi kwasababu wanaamini kuwa, ukilala na mwanaume mfupi mboloo yake ni fupi kwahiyo mwanaume wako mwenye ***** ndefu hawezi kuja kugundua. amini usiamini, wanawake wengine huwa wanawatongoza kabisa wanaume wafupi kwasababu ati wakilala nao size za machine zao hawa wanawake hazitapanuka au kusukumwa mbele zaidi hadi mwanaume wake kugundua. wengi huogopa yale mababa marefu kwasababu ati wakilala nao tu mihogo yao ni mirefu sana hivyo k itasasambuliwa na kugundulika na mwanake. kwasababu hii wanaume wafupi ndo wamekuwa wanapenda sana na wanawake na wanaiba sana ndoa za watu. wanahongwa hata kuhongwa. lakini ukija kwenye majadiliano etc au hapa kwenye thread, wengi wanasema wanawapenda wanaume warefu kumbe wamelala na wanaume wafupi wengi kuliko hata na warefu.

however, wanawake wengi huamini akiolewa na mwanaume mrefu atazaa watoto warefu, hivyo mwanaume mrefu mara nyingi anakuwa kama dume la mbegu tu lakini kwa starehe wafupi wanatumika zaidi amini usiamini. ukiona mwanamke aliyeko ndoani anaibiwa na mwanaume mrefu, basi huyo ameshindikana na yupo mbioni kuharibu ndoa. ila kwa ambao hawajaolewa, wengi wanawapenda warefu kwasababu ya mbegu za watoto warefu na muonekano wa nje tu wanapotembea barabarani.
 
Back
Top Bottom