Why do Girls hate dating short guys.....

Mimi nilikuaga nasema hivyo lakini sasa yamenikuta i am married na mwanamme mfupiiiiiiiiii na mimi ni mrefu sana i cant do away from high hills labda nikiwa nae imenilazimu kuvaa flat,,,, but he is the greatest man i ever met.......................... Caring, humble, gud ****, respect, jamani sikuwahi fikiria,,,,,,,,, msiseme hivyo,,, usitukane mamba kabla hujavuka mto!!!!!!!!!!!!!

Nampenda kuliko maelezo.
 
wanaume wafupi wana makeke sana, wanajijua ni wafupi kwa hiyo wanataka kujiongeza urefu kwa makeke yao, halafu ukute ni mfupi na suruali yake inajikunyata hapa katikatika ya miguuu... to me, no way!
 
Hahahaaa muhanga leo umeibukia wapi best maana unanichekesha ile mbaya...
Looong time...mzima weye?
 
wanaume wafupi wana makeke sana, wanajijua ni wafupi kwa hiyo wanataka kujiongeza urefu kwa makeke yao, halafu ukute ni mfupi na suruali yake inajikunyata hapa katikatika ya miguuu... to me, no way!

Hahahahaaaaaaaaa naona utaaaaaaaaaaam
 
wanaume wafupi wana makeke sana, wanajijua ni wafupi kwa hiyo wanataka kujiongeza urefu kwa makeke yao, halafu ukute ni mfupi na suruali yake inajikunyata hapa katikatika ya miguuu... to me, no way!

safi sana........kweli kabisa
 
a man is a man, kinachotutofautisha ni justification zetu na judgement ya mambo period!
 
Back
Top Bottom