Ni marufuku kwa mhaya,mnyakyusa na mchaga kuwa RAISI bila shaka unajua ni kwa nini!
Ndugu zangu msidanganyike! Magamba ni yale yale.
Tunahitaji kufanya mabadiliko ya dhati kama tunaitakia mema nchi yetu.
Kwa mtazamo wangu mdogo sidhani kama mama tibaijuka anaweza kuongoza nchi yetu.Kuna msemo wa kiingereza usemao CHARITY BEGINS AT HOME.Sasa kama wizara ya ardhi anaelekea kuprove failier unadhani ataweza kuongoza nchi ambayo ina watu wapatao milioni 45?Si hivo tu nchi yetu inakabiliwa na ombwe la uongozi,hasa chama anachotoka CCM.Nchi yetu inatakiwa kuongozwa na rais ambaye atakuwa na uelewa wa masuala ya uchumi,kwani kwa kufanya hivo ataweza kusimamia madini yetu ambayo tunaelekea kurithi mashimo.Nchi hii pia ina makampuni mbalimbali ya simu ambayo kodi zake zikikusanywa vizuri tunaweza kupata pesa ya kuhudumia shule zetu,zahanati zetu,mahakama zetu,magereza yetu ambayo hayana karatasi za kuandikia mambo mbalimbali ya kiofisi.NCHI hii pia inaitaji rais ambaye atakuwa na uwezo wa kuchanganua mambo.BASICALLY WE NEED TO CHANGE THE SYSTERM IF WE WANT TO EXCEL.WHO MAKES CHANGES?ITS YOU AND ME.Nilimsikiliza prof. Tibaijuka jana kwenye BBC akijibu na kueleza kuhusu suala la ardhi na uwekezaji...pia tangu nianze kumsikiliza akiwa waziri hapa tz,...nimetokea kumpenda sana, na anaonekana mtu ambaye yuko committed, na anaweza kazi, ni mwaminifu na ile intergrity yake ya UN inamfanya afanye kazi kwa uaminifu ili asichafue cv ambayo alishaitengeneza.some people wanasema kale kamama ka UN Asha mingiro ndo pengine mzuri, mm naona yule ni mlaini halafu hawezi kitu na pale UN alipelekwa tu na mkubwa...Jamani nimeamua kulitoa hili moyoni mwangu, kwakweli nampenda sana uyu mama na angekuwa rais tz hata ndani ya ccm mlemle tungefika mbali....alimponda sana yule waziri wa ardhi aliyepita kwa kunyang'anya ardhi ya wananchi kwaajili ya wawekezaji uchuro....
you are now .creating what we call tribalismtatizo lako we ni mkabila,tunapambana kila siku na udini na ukabila ila inavyoonekana itachukua muda mrefu kwa watu kama nyinyi kubadilika. Ubaguzi hauna nafasi katika kuleta mapinduzi ya kweli nchi hii.
you are now creating what we call tribalismni marufuku kwa mhaya,mnyakyusa na mchaga kuwa raisi bila shaka unajua ni kwa nini!
Kwa mtazamo wangu mdogo sidhani kama mama tibaijuka anaweza kuongoza nchi yetu.Kuna msemo wa kiingereza usemao CHARITY BEGINS AT HOME.Sasa kama wizara ya ardhi anaelekea kuprove failure unadhani ataweza kuongoza nchi ambayo ina watu wapatao milioni 45?Si hivo tu nchi yetu inakabiliwa na ombwe la uongozi,hasa chama anachotoka CCM.Nchi yetu inatakiwa kuongozwa na rais ambaye atakuwa na uelewa wa masuala ya uchumi,kwani kwa kufanya hivo ataweza kusimamia madini yetu ambayo tunaelekea kurithi mashimo.Nchi hii pia ina makampuni mbalimbali ya simu ambayo kodi zake zikikusanywa vizuri tunaweza kupata pesa ya kuhudumia shule zetu,zahanati zetu,mahakama zetu,magereza yetu ambayo hayana karatasi za kuandikia mambo mbalimbali ya kiofisi.NCHI hii pia inaitaji rais ambaye atakuwa na uwezo wa kuchanganua mambo.BASICALLY WE NEED TO CHANGE THE SYSTERM IF WE WANT TO EXCEL.WHO MAKES CHANGES?ITS YOU AND ME.
Nilimsikiliza prof. Tibaijuka jana kwenye BBC akijibu na kueleza kuhusu suala la ardhi na uwekezaji...pia tangu nianze kumsikiliza akiwa waziri hapa tz,...nimetokea kumpenda sana, na anaonekana mtu ambaye yuko committed, na anaweza kazi, ni mwaminifu na ile intergrity yake ya UN inamfanya afanye kazi kwa uaminifu ili asichafue cv ambayo alishaitengeneza.