Why CCM presidential ambitions comes 2015 relies heavily upon Prof. Anne Tibaijuka?

Ndugu zangu msidanganyike! Magamba ni yale yale.

Tunahitaji kufanya mabadiliko ya dhati kama tunaitakia mema nchi yetu.
 
Ni marufuku kwa mhaya,mnyakyusa na mchaga kuwa RAISI bila shaka unajua ni kwa nini!

tatizo lako we ni mkabila,tunapambana kila siku na udini na ukabila ila inavyoonekana itachukua muda mrefu kwa watu kama nyinyi kubadilika. Ubaguzi hauna nafasi katika kuleta mapinduzi ya kweli nchi hii.
 
Nilimsikiliza prof. Tibaijuka jana kwenye BBC akijibu na kueleza kuhusu suala la ardhi na uwekezaji...pia tangu nianze kumsikiliza akiwa waziri hapa tz,...nimetokea kumpenda sana, na anaonekana mtu ambaye yuko committed, na anaweza kazi, ni mwaminifu na ile intergrity yake ya UN inamfanya afanye kazi kwa uaminifu ili asichafue cv ambayo alishaitengeneza.some people wanasema kale kamama ka UN Asha mingiro ndo pengine mzuri, mm naona yule ni mlaini halafu hawezi kitu na pale UN alipelekwa tu na mkubwa...Jamani nimeamua kulitoa hili moyoni mwangu, kwakweli nampenda sana uyu mama na angekuwa rais tz hata ndani ya ccm mlemle tungefika mbali....alimponda sana yule waziri wa ardhi aliyepita kwa kunyang'anya ardhi ya wananchi kwaajili ya wawekezaji uchuro....
Kwa mtazamo wangu mdogo sidhani kama mama tibaijuka anaweza kuongoza nchi yetu.Kuna msemo wa kiingereza usemao CHARITY BEGINS AT HOME.Sasa kama wizara ya ardhi anaelekea kuprove failier unadhani ataweza kuongoza nchi ambayo ina watu wapatao milioni 45?Si hivo tu nchi yetu inakabiliwa na ombwe la uongozi,hasa chama anachotoka CCM.Nchi yetu inatakiwa kuongozwa na rais ambaye atakuwa na uelewa wa masuala ya uchumi,kwani kwa kufanya hivo ataweza kusimamia madini yetu ambayo tunaelekea kurithi mashimo.Nchi hii pia ina makampuni mbalimbali ya simu ambayo kodi zake zikikusanywa vizuri tunaweza kupata pesa ya kuhudumia shule zetu,zahanati zetu,mahakama zetu,magereza yetu ambayo hayana karatasi za kuandikia mambo mbalimbali ya kiofisi.NCHI hii pia inaitaji rais ambaye atakuwa na uwezo wa kuchanganua mambo.BASICALLY WE NEED TO CHANGE THE SYSTERM IF WE WANT TO EXCEL.WHO MAKES CHANGES?ITS YOU AND ME.
 
tatizo lako we ni mkabila,tunapambana kila siku na udini na ukabila ila inavyoonekana itachukua muda mrefu kwa watu kama nyinyi kubadilika. Ubaguzi hauna nafasi katika kuleta mapinduzi ya kweli nchi hii.
you are now .creating what we call tribalism
 
Kwa mtazamo wangu mdogo sidhani kama mama tibaijuka anaweza kuongoza nchi yetu.Kuna msemo wa kiingereza usemao CHARITY BEGINS AT HOME.Sasa kama wizara ya ardhi anaelekea kuprove failure unadhani ataweza kuongoza nchi ambayo ina watu wapatao milioni 45?Si hivo tu nchi yetu inakabiliwa na ombwe la uongozi,hasa chama anachotoka CCM.Nchi yetu inatakiwa kuongozwa na rais ambaye atakuwa na uelewa wa masuala ya uchumi,kwani kwa kufanya hivo ataweza kusimamia madini yetu ambayo tunaelekea kurithi mashimo.Nchi hii pia ina makampuni mbalimbali ya simu ambayo kodi zake zikikusanywa vizuri tunaweza kupata pesa ya kuhudumia shule zetu,zahanati zetu,mahakama zetu,magereza yetu ambayo hayana karatasi za kuandikia mambo mbalimbali ya kiofisi.NCHI hii pia inaitaji rais ambaye atakuwa na uwezo wa kuchanganua mambo.BASICALLY WE NEED TO CHANGE THE SYSTERM IF WE WANT TO EXCEL.WHO MAKES CHANGES?ITS YOU AND ME.

Mkuu ufafanuzi wako uko safi. Akishindwa kukuelewa basi tuachane nae.
 
Nilimsikiliza prof. Tibaijuka jana kwenye BBC akijibu na kueleza kuhusu suala la ardhi na uwekezaji...pia tangu nianze kumsikiliza akiwa waziri hapa tz,...nimetokea kumpenda sana, na anaonekana mtu ambaye yuko committed, na anaweza kazi, ni mwaminifu na ile intergrity yake ya UN inamfanya afanye kazi kwa uaminifu ili asichafue cv ambayo alishaitengeneza.

You are not serious...yaani awe mwaminifu na mwenye integrity, sasa huko CCM anafanya nini! CV yake ilichafuka pale alipoamua kuingia jikoni huko wanakotayarisha chakula kinachohatarisha uhai wa Watanzania. Watanzania walimsikiliza Kikwete mwaka 2005 na kwa upofu wao wakasema hapa tumepata kiongozi lakini, pamoja na kupata sufuri, mwaka 2010 akaja tena na hadithi zile zile akapewa tena Uongozi! Kwa kukusaidia tu, Mama Tibaijuka ni Waziri ndani serikali aliyoiunda Kikwete, CV kubwa ikiwa ni unafiki, ama wewe ni fisadi au unafumbia macho ufisadi!
 
Tibaijuka anafaa sana kuwa Rais wa CCM, lakini siyo Tanzania. Dr. Willy ndiye favourite for 2015 presidency
 
Huyo mama hata wizara ya ardhi alianza kwa nguvu ya soda. Hawezi chochote, akalee wajukuu nyumbani. Siku akisimamishwa huyo ndio siku nnaipa kura CHADEMA. Kwi kwi kwi.

Asha Rose for President.
 
Ndugu yangu humjui vzr huyo mama, ni mkabila aliyepitiliza nenda kafuatilie record yake UN huyo mpk madereva aliweka wahaya, habitat kwenyewe ilikuwa balaa. km akija kuwa rais nchi hii basi kila taasisi ya serikali itakuwa na muhaya nadhani baada yapo nini kitafuata....
 
CCM hata imsimamishe mwana asha jk itashinda tu,huo ndo ukweli,1995,2000,2005 na 2010 mlijipa matumain feki bt mmeshindwa,kama Slaa anataka ashinde ama ajiunge CCM au wabadilishane majina na Chadema ili kuwa confuse wapiga kura,wa Tz wanachagua chama hawaangalii mtu,sera,bendera,dini au kabila.iwe sahihi au vinginevyo hiyo ndo tabia ya nchi aloturithisha kambarage!!
 
As long as yuko ndani ya CCM "She will always be good for nothing". Honestly in the near future I don't see anything good coming from CCM.
 
wewe huyu mama ana kisirani cha chini chini akipewa nchi tumekwisha na ao wahaya mbona tutapata shida mitaani.historia inaonyesha marais kutoka kaskazini si watu wazuri hawana uzalendo na nchi ya o wahaya=uganda. arusha +wachaga=kenya ni nadra sana wanaojiskia na utanzania
 
Jinsi wewe Rutashubanyuma unavyomdefend huyo mama leaves a lot to be desired!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom