Why Burry Mwangosi So Hurriedly?

Hii siyo sehemu ya kujifunza. JF imetenga Jukwaa la Lugha maalum kwa ajili ya watu wanaotaka kujifunza lugha. Majukwaa mengine yote, pamoja na hili la siasa, ni sehemu ambazo watu wanataka kuona vitu vinavyosomeka, kueleweka na kufahamika ili waweze kuchangia vizuri. Huwezi ukaandika post kwa kiingereza kibovu halafu baadaye unaomba msamaha eti ooh 'kiingereza siyo lugha yangu.'

What else is new? I'm sick and tired of you trying to impose yourself as the English teacher. Brits and Americans make much more spelling mistakes than those of us for whom English is not our first language
 
Wewe hufanyi makosa ya kiuandishi ila unafanya makosa ya kutojua kiingereza kabisa. Yaani unaandika kiingereza kibovu hata binti yangu wa miaka 3 anakushinda.
 
Katika hali ile, ule mwili usingeweza kutunzwa maana uliharibika mno hivyo kulazimu kuzikwa haraka. Besides, forensics zaweza kufanyika hata kama mwili umezikwa. Bomu la machozi linaweza kuwa deadly kamahalijalipuliwa vizuri. Kama linaweza kupindisha bodi ya gari (magari ya m4c), litashindwa kuchana tumbo?
 
Radhia, I know what you are up to! I must admit, your little trick is working because your comments are misleading this thread

However I want to thank those who saw my point and gave us their opinion, PASCO in particular gave a very good insight to my topic

Thanks again to Sooth,Zemarcopolo, King'asti,Zinjanthropus etc
 
Katika hali ile, ule mwili usingeweza kutunzwa maana uliharibika mno hivyo kulazimu kuzikwa haraka. Besides, forensics zaweza kufanyika hata kama mwili umezikwa. Bomu la machozi linaweza kuwa deadly kamahalijalipuliwa vizuri. Kama linaweza kupindisha bodi ya gari (magari ya m4c), litashindwa kuchana tumbo?

Ninaongelea explosive power, lile bomu lipo kama fragmentation bomb

Halafu kuhusu kufukua mwili ndo hivyo kwanini kukimbilia kuuzika hata hivyo hiyo hoja ya Pasco imeingia kidogo akilini vinginevyo nilidhani ndo kama yale ya Zona, Dr. Ulimboka kesi zinazima hivi hivi
 
Unaona sasa unavyoeleweka vizuri kwasababu umetumia lugha yako uliyoizoea. Naomba nieleweke kuwa sina tatizo na wewe kuandika kiingereza kibovu kwa kuwa naamini njia sahihi ya kujifunza ni kwa kufanya makosa. Lakini bila shaka inakuwa ni tatizo pale ambapo kiingereza kibovu kinakuwa kikwazo cha kufikisha ujumbe kwa walengwa husika na kuwaacha watu wanahangaika kutafuta nini ujumbe wa mtoa mada (hasa ukizingatia kuwa JF inafika sehemu nyingi). Nadhani pia nichukue fursa hii kukushauri ndugu yangu jaribu kutumia muda mwingi Jukwaa la Lugha badala ya kuhangaika huku kwenye Siasa ambako hakuna msaada mkubwa kwako ambaye unajifunza kiingereza.
 
I can't wait for the report to be made public. My concern arise from the fact that cases implicating top officials we have seen they are always withdrawn due to lack of evidence
Is post mortem report a public document?!, just keep waiting!.
 
Ninaongelea explosive power, lile bomu lipo kama fragmentation bomb

Halafu kuhusu kufukua mwili ndo hivyo kwanini kukimbilia kuuzika hata hivyo hiyo hoja ya Pasco imeingia kidogo akilini vinginevyo nilidhani ndo kama yale ya Zona, Dr. Ulimboka kesi zinazima hivi hivi

Kumbe kiswahli unakijua? Hz mbwembe hzi. Duhi
 
Unaona sasa unavyoeleweka vizuri kwasababu umetumia lugha yako uliyoizoea. Naomba nieleweke kuwa sina tatizo na wewe kuandika kiingereza kibovu kwa kuwa naamini njia sahihi ya kujifunza ni kwa kufanya makosa. Lakini bila shaka inakuwa ni tatizo pale ambapo kiingereza kibovu kinakuwa kikwazo cha kufikisha ujumbe kwa walengwa husika na kuwaacha watu wanahangaika kutafuta nini ujumbe wa mtoa mada (hasa ukizingatia kuwa JF inafika sehemu nyingi). Nadhani pia nichukue fursa hii kukushauri ndugu yangu jaribu kutumia muda mwingi Jukwaa la Lugha badala ya kuhangaika huku kwenye Siasa ambako hakuna msaada mkubwa kwako ambaye unajifunza kiingereza.

I don't even waste my time to read your nonsense. Why don't you go ahead and show me yours. I see in you a person that has parts of english speeches and wait for the opportune time to paste them
 
TYPING ERROR. Hey I would appreciate it if we discuss the content.Besides, thanks to CCM government that hires unqualified teachers my English is not so good

Don't hide your shame under the pretext of unqualified teachers, disclose yourself or else defend yourself.
 
What is there to disclose? and, yes, defending? I'm doing exactly that. The government hasn't done enough as far as teaching of English in our schools is concerned. Now don't get me started because that's entirely a topic on its own
 
What is there to disclose? and, yes, defending? I'm doing exactly that. The government hasn't done enough as far as teaching of English in our schools is concerned. Now don't get me started because that's entirely a topic of its own

Wewe usitake kuilaumu serikali hapa eti ndiyo imesababisha usijue kiingereza. Laumu uzito wa kichwa chako kilichoambatana na uwezo mdogo wa kudadavua mambo. Hiyo serikali unayoilaumu ndiyo hiyohiyo iliyotufundisha sisi hadi tumejua kiingereza. Halafu, hata hivyo, kama kweli unajijua hujui kiingereza, mbona unaendelea kujishaua hivyo?
 
I don't even waste my time to read your nonsense. Why don't you go ahead and show me yours. I see in you a person that has parts of english speeches and wait for the opportune time to paste them

Unasema hupotezi muda kusoma post zangu halafu unazijibu. Sasa kama hujazisoma umezijibuje? Unashangaza sana wewe.
 
Is post mortem report a public document?!, just keep waiting!.

It's not made public in Tanzania but in other countries the authorities feel people have the right to know
 
Wewe usitake kuilaumu serikali hapa eti ndiyo imesababisha usijue kiingereza. Laumu uzito wa kichwa chako kilichoambatana na uwezo mdogo wa kudadavua mambo. Hiyo serikali unayoilaumu ndiyo hiyohiyo iliyotufundisha sisi hadi tumejua kiingereza. Halafu, hata hivyo, kama kweli unajijua hujui kiingereza, mbona unaendelea kujishaua hivyo?
You're pushing the wrong buttons because I'm thinking of resorting to private messages and you definitely won't like them
 
Huyu nae na kizungu njaa chake, si bora ungeandika kwa kiswahili tu. Mimi nilijua kuna jamaa anaitwa Burry Mwongosi kumbe mzee mwenyewe alimaanisha bury Mwangosi.
 
[h=2]Re: Why Burry Mwangosi So Hurriedly?[/h]Du kama mmegundua huyu jamaa ni michosho maana kanipotezea muda kuingia katika Kamusi ya Kiingereza (Concise Oxford English Dictionary - Eleventh Edition) hata Dictionary ya Computer katika Window XP kutafuta maneno
[h=2]Burry, Hurriedly? hakuna maneneo hayo kabisaaa labda kwa kilugha[/h]nakushauri Azipa tumia hata Spelling check katika Computer maana zinasaidia kutafsiri hata Kiswahili sanifu, km haipo ya Kiingereza yapo na kuna mstari (underline) mwekundu lazima unatokea ukiuclick itakupa neno sahihi.
Kwa hiyo nakubaliana na Radhia Sweety ungeenda Jukwaa la lugha hapa zikifika Habari kamili ni kwa Lugha sahihivizuri zaidi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom