Huwa ninapata shaka sana kumkuta mtu alielimika amekumbatia Quran au Bible akitegemea imkomboe Kwanini tusijiunge na kuanza harakati ya kusimamia nature inasemaje sio tena mambo ya kuamini hapana yani tusimamie kwenye uhalisia na kuelemisha jamiiSWADAKTA NIMEFURAHI KUSIKIA HII ELIMU YAKO. LAKUSISITIZA NI KWAMBA HIVI VITABU VIMETUMIKA KUCORRUPT MIND ZETU. KWANI ZILITUMIKA KUTUONDOSHA KWENYE MFUMO WETU WAKIROHO.
BINADAMU TUMEUMBWA NA MAMA ZETU TUKIWA HURU NA AINA YEYOTE YA UCHAFU. VITABU VYOTE VIMEANDIKWA NA WATU NA TUMEVIKUTA BAADA YA KUZALIWA. NI KITU GANI KINATUFANYA TUZIBEBE WAKATI TUMEZIKUTA HAPA NA HATUKUZALIWANANVYO? HUU SIO WAKATI WA KUHANGAIKA NA NADHARIA DHAIFU KWA KUWAJAZA WATU MASWALI AMBAYO HATA WAO HAWAWEZI KUYAJIBU.
TUNAHITAJI KUULIZA KILA KITU NA TUFAHAMU. MAANA KUFAHAMU NI BORA KULIKO KUAMINI. NATURE INATUAMBIA NINI?
AFRIKA NDIO ARDHI PEKEE DUNIANI ILIOJUU KIMAUMBILE NA ARDHI YENYE UTAJIRI KULIKO ARDHI YEYOTE. IT TAKES THE ABORIGINAL TO PICK WHAT IT IS ORIGINAL.
WOTE WANAISHI KUTEGEMEA AFRIKA KUTOKA DAY ONE NA OBORIGINAL BLACKS NDIO WAMILIKI WA MAMBO YOTE. ALL OF THEM THEY HAVE STOLEN OUR IDENTITY KWA DAMU BAADA YA KUTUINGIZIA FEAR NDIO UZUSHI WA VITABU VYAO TUKAVIKUMBATIA.
Mkuu kuna uthibitisho wowote kwa haya usemayo??Binadamu wa kwanza ni Nabii Adam. Yeye aliumbwa kwa kutumia udongo wa duniani wa ufinyanzi...huu ulikuwa mweupe , mweusi na manjano.
Nabii Adam alipo shushwa duniani na Mama hawa walikua wakizaa watoto tofauti kwa rangi na sura. Hii inatokana na wao kuwa dna zote za binadamu....
Hawa wato walishi pamoja, wakahasimiana na kubaguana kwa rangi zao na maumbo yao....hivyo wakakimbiana kuhamia sehemu mbali mbali duniani....
Lakini suala gumu zaidi ni lugha ilikuaje waongee lugha nyingi hivi ? Lugha zaidi ya laki zinaongewa duniani.
Hapa inawezekana adan na hawa hawakua na lugha...hivyo walijifunza kuongea na duniani.....lakini Adam alifunzwa kufahamu kila kitu duniani na kuvijua majina ila kwa lugha gani .haiko wazi....
Hivyo mazingira ya walipo ishi na wenyewe wakatengeneza lugha zao
Wapo walokuja afrika weusi, walokwenda ulaya weudi, walokwenda far east manjano, nk nk
Pia huu ulimwengu wapo majini.....hawa majini ni werevu zaidi na wao ni viumbe.
Majini hupenda kufanya mapenzi na binadamu......inasemekana hawa wazungu waliathirika zaidi na genes za majini ..ni watoto chotara wa binadamu na majini nfo maana unawaona akili zao..zina chagi zaidi , hawaogopi ni majabari kweli..... Wababe...hio damu ya jini...macho yao blue, nywele wengine nyeupe....dna za kijini jini......
Mshana ukishaweka uumbaji , kila kitu kinawezekana! Na hapo hakuna kuhoji maana Mungu hahojiwwi ," anapenda na inakuwa" Ila ukiweka science, you need to put a plausible explanation. Is it possible kujichubua mzungu akawa mweusi?Hakuna kilichokosewa hakuna kilichopungua ni style tu ya uumbaji, kumbuka kuna watu wa njano pia...uumbaji una variety nyingi sana kutegemeana na hali ya hewa ya mahali husika, kila kitu kiko kwenye mahesabu yaliyokusudiwa na kutosheleza.
Kumbuka hii si kwa binadamu bali hata wanyama na vitu vingine vyote kama chakula nyumba nguo nk nk
Unawezaje kujua ya kwamba mtu ni mental case...?!yani me nimefanana na huyo mental case? lol. the guy reads too much conspiracies.
Deception unatafutwa.
Mtu Leo anayekataa Kuwa binadamu hakufika mwezini ni mental case.....Unawezaje kujua ya kwamba mtu ni mental case...?!
Nimemfuatilia jamaa nilimuelewa sana mfano kule kwenye HIV/AIDS kwenye bangi pia, kwenye kansa maelezo yake...Mtu Leo anayekataa Kuwa binadamu hakufika mwezini ni mental case.....jamaa anapenda kweli conspiracy stories...
I hope he doesn't come trying to prove anything to me about the moon landing. nishafuatilia debates za binadamu kwenda mwezini na nishakata shauri.
wamuulize waliokuwa interested. me nimemdismiss. not my area of interest for a debate...Labda ungemuuliza ana uhakika gani kwamba hakuna mtu aliyewahi kufika mwezini
Okay, mbona huwa unakuwa mkali mtu akikosoa evolution...?!wamuulize waliokuwa interested. me nimemdismiss. not my area of interest for a debate...
Okay, mbona huwa unakuwa mkali mtu akikosoa evolution...?!
LIGI imeanza.......Mkuu,huyu jamaa ukimuuliza kwa nini anapinga hataweza kukujibu zaidi ya kukuletea siasa na blaa blaa nyingine.Akili na utamaduni kama wake ndivyo vitu alivyovitumia mzungu kukusanya points za ushindi dhidi ya mtu mweusi katika masula mbalimbali muhimu.
Jamaa ni dhaifu kiuelewa,yeye anaona kila kitu kilichoandikwa kwenye kitabu na kipo kwenye mitaala na amefundishwa hivyo darasani ni cha kweli,yeye anaamini tu,hana akili ya kuhoji.Hajui hata historia ya waandishi/watungaji wa vitabu au 'theories' anazoziamini na kwanini theories hizo(ambazo si za kweli) zimetungwa na zinafundishwa madarasani.Yeye anachojua ni kusoma na kubeba kama zilivyo eti kwa kuwa mzungu ndiye aliyeandika.
Sasa angalia.umemuuliza kuhusu suala la mtu kwenda mwezini,yeye kakuletea siasa,ndio maana nikasema huyu jamaa ni dhaifu kiuelewa.Kama atakujibu swali ulilomuuliza naomba uniite,hapa ndipo utajionea wewe mwenyewe nani ni mental case kati ya mimi na yeye.
mimi huwa sizungumzi maneno matupu au siasa kama yeye,huwa natoa facts,sasa akikujibu niite ujionee mwenyewe.
Huwa nakuelewa sana mkuu....Mungu akuzidishie hekima na maarifa mkuuMkuu,huyu jamaa ukimuuliza kwa nini anapinga hataweza kukujibu zaidi ya kukuletea siasa na blaa blaa nyingine.Akili na utamaduni kama wake ndivyo vitu alivyovitumia mzungu kukusanya points za ushindi dhidi ya mtu mweusi katika masula mbalimbali muhimu.
Jamaa ni dhaifu kiuelewa,yeye anaona kila kitu kilichoandikwa kwenye kitabu na kipo kwenye mitaala na amefundishwa hivyo darasani ni cha kweli,yeye anaamini tu,hana akili ya kuhoji.Hajui hata historia ya waandishi/watungaji wa vitabu au 'theories' anazoziamini na kwanini theories hizo(ambazo si za kweli) zimetungwa na zinafundishwa madarasani.Yeye anachojua ni kusoma na kubeba kama zilivyo eti kwa kuwa mzungu ndiye aliyeandika.
Sasa angalia.umemuuliza kuhusu suala la mtu kwenda mwezini,yeye kakuletea siasa,ndio maana nikasema huyu jamaa ni dhaifu kiuelewa.Kama atakujibu swali ulilomuuliza naomba uniite,hapa ndipo utajionea wewe mwenyewe nani ni mental case kati ya mimi na yeye.
mimi huwa sizungumzi maneno matupu au siasa kama yeye,huwa natoa facts,sasa akikujibu niite ujionee mwenyewe.
Kaka mimi ndo nilikuwa nakutafuta,Mkuu,huyu jamaa ukimuuliza kwa nini anapinga hataweza kukujibu zaidi ya kukuletea siasa na blaa blaa nyingine.Akili na utamaduni kama wake ndivyo vitu alivyovitumia mzungu kukusanya points za ushindi dhidi ya mtu mweusi katika masula mbalimbali muhimu.
Jamaa ni dhaifu kiuelewa,yeye anaona kila kitu kilichoandikwa kwenye kitabu na kipo kwenye mitaala na amefundishwa hivyo darasani ni cha kweli,yeye anaamini tu,hana akili ya kuhoji.Hajui hata historia ya waandishi/watungaji wa vitabu au 'theories' anazoziamini na kwanini theories hizo(ambazo si za kweli) zimetungwa na zinafundishwa madarasani.Yeye anachojua ni kusoma na kubeba kama zilivyo eti kwa kuwa mzungu ndiye aliyeandika.
Sasa angalia.umemuuliza kuhusu suala la mtu kwenda mwezini,yeye kakuletea siasa,ndio maana nikasema huyu jamaa ni dhaifu kiuelewa.Kama atakujibu swali ulilomuuliza naomba uniite,hapa ndipo utajionea wewe mwenyewe nani ni mental case kati ya mimi na yeye.
mimi huwa sizungumzi maneno matupu au siasa kama yeye,huwa natoa facts,sasa akikujibu niite ujionee mwenyewe.
Huwa ninapata shaka sana kumkuta mtu alielimika amekumbatia Quran au Bible akitegemea imkomboe Kwanini tusijiunge na kuanza harakati ya kusimamia nature inasemaje sio tena mambo ya kuamini hapana yani tusimamie kwenye uhalisia na kuelemisha jamii
..........
Akanisihi tena NIKUULIZE SWALI.
Je? Mtu alieambiwa kuwa ni Mwathirika na akapewa ARV kutumia, Afanye nini au ni nini atumie ili CD4 zake zikae sawa na Mara ya CD4 kuwa sawa ni hatua gani mtu huyo achukue ili aweze kuacha ARV pia?
Asante