Who said english is easy???fill in the blank with YES or NO!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
(1)..........I dont have a brain
(2)..........I dont have sence,
(3)..........I iam very stupid.
(4)...........I am no longer active man!
 
"No" sounds better japo hii multiple choice yako ilitakiwa choice ya" none of the above" iongezeke
 
Hizo ni sentensi zinajitosheleza, haziitaji yes or no because you have confirmed it already, haiitaji yes or no hapo. A grammatically correct form would be:
Do I have a brain? Yes I do, or No I don't.
 
RR kakakiiza hajakupa option hiyo ametaka rules of the gameto be observed!
 
Hajasema you only need to select one of the sentence. I think maana yake ni kwamba whether you say yes or no the maana haibadiliki. Na ndio maana nimemwambia itakua hivo sababu hizo sentence zote zinajitosheleza. Or mybe I am the confused one, sijaelewa swali lake. Ngoja aje atufafanulie alitakaje hasa.
 
huyu yupo calabash saa hizi anasherehehea idd, tumsubiri kesho

Back
Top Bottom