Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
- Thread starter
- #21
Hizi cables hizi zinatufanya tuanze kuuliza hata vitu ambavyo tulikuwa hatuvifikirii
Hizi cables hizi zinatufanya tuanze kuuliza hata vitu ambavyo tulikuwa hatuvifikirii
Ni sisi wenyewe, kisha tukaongezewa nguvu na viongozi wetu wa kidini. Remember "chaguo la mungu" episode.
Swali ni tuliona nini kwa Kikwete? Je alitudanganya kwamba anaweza kazi? Na je tumedanganywaje mara mbili hata akaweza kuongoza term ya pili?
utakuja kugundua mwalimu katuangusha sana, kwa sababu mtu mwenye kipaji kama yeye alikuwa ateupushe na haya.
niliwahi uliza huko nyuma hivi JK huwa ana ongea nini na hawa western leaders maana wao ni vipanga na washauri wao mara nyingi huwa vipanga kuwazidi wao. huyu wetu ni jana mno. wakulaumiwa ni mwalimu tu.
napita.
Wamarekani walianza hii effort kwetu in fifties.... it will take us 100 years kureverse walichofanya
FYI, hata rais ajaye atatoka kwenye "pot" yao tu... tutake tusitake
MTM
Nchii yetu, ni nchi isiyo na utamaduni wala imani moja. ni diversity hii ndio chanzo cha matatizo yetu mengi,
likiwemo hili la kufikia hatua ya kuwa na Rais Kama huyu.
Nadhani hata approach ya Mwalimu ya kupambana na ubaguzi wa Rangi, Dini, na ukabila ilikuwa na kasoro
ambazo inatulazimu tuzirekebishe, Yes, hazikutusaidia kumbaini huyu jamaa ndio maana ama amefanikiwa
kujipenyeza ama wamefanikiwa kumpenyeza mpaka Ikulu.
Kama taifa woooooooooooote, hatujui kabisa kabisa kabisa namna ya kudadavua na kupata the right
candidate for the white house, tunahangaika tu.
Ndio Maana hata wewe Mwanakijiji ulimpigia huyu Jamaa Kampeni 2005.
Kitu pekee nilichobakiza kama matumaini yangu kwamba huyu Jamaa aliingia
pale kwa sababu ni chaguo la Mungu ni ili aweze kutusaidia watanzania kujikwamua
kutoka usingizini.
Yes, na anatuamusha kwelikweli.
Hivi huwa mnafikiri? unanchekesha!

Kama naelea vizuri swali, somebody is reporting somewhere else!
Kwa iyo?Kichwa cha habari na habari ni vitu viwili tofauti, huu ni ule uandishi wa ya magazeti ya nanihii.
Nimesoma hizi Wikileak diplomatic cables na kuona JK anavyoingizwa sehemu mbalimbali na kujikuta ninajiuliza hilo swali. Sijui wengine mmeona pattern fulani au mmejiuliza swali au kupata majibu ya swali hilo?
Msamehe bure FaizaFoxi, hili swala huenda analitazama kiimani zaidi na inamfanya apuuze na kucheka, hukumbuki Kiongozi wa dini aliyesema Kikwete anaandamwa kwasababu ya dini yake tuu na si kwamba ni kiongozi mbovu?Unapenda sana kuchekacheka FF sijui kwa nini? issue sensitive kama hii wewe unacheka,umezisoma hizo cables MM anazozisema?Inasikitisha sana dada'etu,kama haujazisoma tafuta muda uzisome(hata kama zinakukera), utafakari....Utaelewa kwa nini MM kaanzisha huu uzi