BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,854
- 262
mbeleko zilizomfikisha JK hapo alipo ni pamoja....................na
a) Kubebwa na Kawawa ndani ya ccm na kupangiwa ukatibu wa Wilaya kusini na baadaye Zanzibar ili kumjenga...................Mzee Ruhksa yeye alitumia nafasi yake kumwendeleza ndani ya serikali katika khali ya kuwainua waislamu..................bila ya kutafakari kama hakuna waislamu wengine wenye uwezo ila huyu kifuu..............................
b) katiba ya ccm imewapa wa Zanzibara nafasi kubwa katika kutuchagulia viongozi kupitia CC, Halmashauri kuu na hata mkutano Mkuu wa ccm kupitia uwalikilishi haramu.................hakuna proportional representation pale na ndiyo maana mwaka 1995 Jk angelichukua nchi kama nyerere asingeliingilia kati kwa kutambua mapungufu ya katiba tajwa.......................that Jk wa unqualified then and he is still unqualified now to be the ceo of this nation..............................
c) mwaka 2005, JK alikuja na sera ni zamu ya waislamu na waislamu akawaahidi makubwa yakiwemo mahakama ya kadhi na kujiung na OIC mambo ambayo mwasisi wake Mzee Rukhsa yalimshinda...................sasa JK amejua hii nchi ni ya Kikristu baada ya kusalimu amri mbele ya Bunge na kuikana azma yake ka kulisilimisha hili taifa kinyemela kupitia maeneo tajwa.....................na hili alijua baada ya kujulishwa na usalama kuwa kura ya kumfukuza kazi ndani ya Bunge itapita...................kwa sabau wa wakristu are rally fed up with his incompetence ndani ya Bunge.....................
d) mwaka 2010 tulimfuta kazi lakini usalama na nec wakamrudisha kwa nguvu........................it is not our fault that voters voice is muzzled by the wicked members of this nation......................................
Duh! isee hata mimi nilikuwa sijuwi ndio kwanza nasikiaga kwako kuwa nchi hii ni ya kikrisro