Who is your favorite MALE singer?

Makedha

Senior Member
Sep 24, 2010
167
53
mwimbaji wa kiume unaopenda kushinda wote ndio nani? Kwa sababu gani?
Ni wimbo gani ya msanii hao unaopenda kuliko zote nyingine?
 
mwana Fa,nampenda cause anapenda kwanza kujiendeleza kimziki na ki academic pia yupo karibu sana na jamii :wimbo alikufa kwa ngoma
 
Andre Young...
Napenda nyimbo zake zoooote.
Hiphop bila yeye ni sawa na Ulimi bila Mate.
 
Joh makin. Northen rock. Cwez kuxema kwa 7bu gani. Ila jama namkubali.
 
james blunt...your byutful
don williams...somebroken heart
 
Back
Top Bottom