who is Sugu and What is Antivirus??

Songíto;2875444 said:
Eeeeeeer naomba ufafanuzi kidogo hapa, hilo neno kwenye red ni ki inglishi?

Maswali yako niya kinafki kwa hata kama ni mtu kakosea si umemwelewa
 
Njooni mle bata hiyo 26th of November, lm going to be a father of an event. Kama ni Xmas ningekuwa faza kilisimasi, lakini siku hiyo ya anti virus ntavaa condom, from top to the toe, maana raincoat siku hiyo haihusiki
 
sugu ni msanii wa hiphop na pia ni mbunge wa mbeya mjini while antivirus ni movement ya kuwakomboa wasanii katika tasnia ya music na itazinduliwa jmosi pale ustawi bamaga hizi harakati ni za kukomboa mziki kutoka kwa wanyonyaji clouds
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom