Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,708
Kuna haja kikaanzishwa kipindi redioni au runingani cha mijadala ya kimbea kama mjadala huu...hizi team nani sijui team nani wengi ni waoga na washobakaji ambao ujanja wao ni katika keyboard ila ana kwa ana ni mandezi ambao mitandaoni unakuta anamkandia mtu flani ila ana kwa ana full shobo na wengine mpaka picha wanaomba kupiga na hao wanaowakandia mitandaoni
huu ujumbe special kwako Dinazarde
Last edited by a moderator: